WABONGO WENGI WAO WANALALA STOO

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
WABONGO WENGI WANALALA  STOO.jpg
 
ah tupe source ya utafiti wako basi..
tatizo uchumi wetu wa tz ndo unapelekea tuishi kwa kujibana bana mkuu we mtu
umepanga chumba ki 1 unataka ununue kila kitu ufanane kama yule anae ishi sawa nyumba familia nzima

pia wabongo tuna kasumba ya kautamaduni ketu ka kuishi na vitu na vyombo ,madumu,na vitu vingne ndani kulingana na tulipo kulia hasa uswahili hata kama una vyumba vya kutosha
 
Inasikitisha sana...

Ukiachilia mbali kulala store...

Pia kuna wanaolala usingizi na wale wanaojiegesha ili mradi pakuche...



Cc: mahondaw
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom