Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Hazihitaji ulinziNdio mkuu ukiamka unaona mali zako zote ziko salama,huku kijijini kwetu tuna lala na kuku,kondoo,mbuzi,paka na ng'ombe zetu ndani hatutaki ujinga.
Ndio mkuu ukiamka unaona mali zako zote ziko salama,huku kijijini kwetu tuna lala na kuku,kondoo,mbuzi,paka na ng'ombe zetu ndani hatutaki ujinga.
Binadamu ndo walivyo mkuuMwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa. Unajifanya hujui ulikotoka nenda kwa Babu na Bibi yake kawaulize kwa mini walikuwa wanalala na mbuzi na kuku ndani.