"Wabongo Wengi Huvutiwa Na Makalio Na Matiti Makubwa..."

"WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA
View attachment 64817

KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha ameamua kuongeza ukubwa wa matiti yake.

Akipekuliwa na mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Baby alisema amefikia uamuzi huo kwa sababu wanaume huvutiwa zaidi na matiti na makalio makubwa.

“Najua Wabongo wanaweza kushangazwa na uamuzi wangu, lakini ni mambo ya kawaida kabisa kutafuta mvuto wa mahaba kwa wanaume wanaopenda matiti na makalio makubwa. Nimeanza na matiti, baadaye nitakwenda a makalio,” alisema.

Alipotakiwa kutaja hospitali aliyofanya upasuaji huo alijibu kwa kifipi: “Ni siri, siwezi kuitaja ila iko Nairobi (Kenya).”




Boflooo... Wacha kutuchanganya. Wengine hatupendi "minido". Twapenda "saa sita".
 
images


Z
 
Zamani demu akiwa na mtindi mkubwa,watu watamtania ana tenda ya kunyonyesha watoto yatima.
 
Bahati mbaya
sana utakapoyahitaji yale madogo huwa haiwezekani tena. Kwa kuwa mchezo
huu wa kupandikizwa homoni huwa hauna uwiano kamili na mzunguko wa
mwili, urembo huu huwa ni wa muda sana. kama kweli umeyafanya haya
mwanasengerema japo sioni tofauti katika picha hizo, hutaamini hizo
Compact Disc utakazoning'iniza kifuani baada ya 5 years.

Pole na hongera zako

ADIOS

bongo muvi kweli danguro,maelezo yake yanaonyesha yuko sokoni na anajitahidi kutangaza bidhaa zake,na anajali matakwa ya wateja
 
Back
Top Bottom