"Wabongo Wengi Huvutiwa Na Makalio Na Matiti Makubwa..." | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Wabongo Wengi Huvutiwa Na Makalio Na Matiti Makubwa..."

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Sep 13, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA
  3.jpg

  KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha ameamua kuongeza ukubwa wa matiti yake.

  Akipekuliwa na mpekuzi wetu jijini Dar es Salaam, Baby alisema amefikia uamuzi huo kwa sababu wanaume huvutiwa zaidi na matiti na makalio makubwa.

  "Najua Wabongo wanaweza kushangazwa na uamuzi wangu, lakini ni mambo ya kawaida kabisa kutafuta mvuto wa mahaba kwa wanaume wanaopenda matiti na makalio makubwa. Nimeanza na matiti, baadaye nitakwenda a makalio," alisema.

  Alipotakiwa kutaja hospitali aliyofanya upasuaji huo alijibu kwa kifipi: "Ni siri, siwezi kuitaja ila iko Nairobi (Kenya)."   
 2. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Bahati mbaya sana utakapoyahitaji yale madogo huwa haiwezekani tena. Kwa kuwa mchezo huu wa kupandikizwa homoni huwa hauna uwiano kamili na mzunguko wa mwili, urembo huu huwa ni wa muda sana. kama kweli umeyafanya haya mwanasengerema japo sioni tofauti katika picha hizo, hutaamini hizo Compact Disc utakazoning'iniza kifuani baada ya 5 years.

  Pole na hongera zako

  ADIOS
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha GHOST RYDER dada'ako amekukera bila shaka. Siunajua mambo ya kuiga umarekani, asichojua ni kitu kimoja kwamba wamarekani wana mkwanja wa kuwatosha kuhimili vishindo, sasa kwa hapa nyumbani hela yenyewe ya kuungaunga atayaweza?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hayo yako watu siku hizi tunapenda natural
   
 5. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hivi watu kama hawa huwa wanatofauti gani na machangudoa?
   
 6. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mwita Maranya hawa dada zetu bhaaaana ukwasi kidogo unawapa taharuki kubwa la fikra. Huyu atajuta kama kweli kafanya mchezo huu.
   
 7. MissM4C

  MissM4C JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,254
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  kwel uktaka kumkamata dume la bongo makalio makubwa, vaa sket bila chupi ndani au tight
   
 8. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwa tunaomfahamu huyu JOHAN MADAHA mtoto wa marehem Dr. Madaha wa kule Mission Sengerema hatusemi maana amekuwa zaidi ya kituko ni mchina kila mahali
   
 9. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,640
  Trophy Points: 280
  Hawazi kuwa ipo siku atazeeka
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Ukute ananuka balaaa.........................
   
 11. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  vidume mnaoponda hapa, akipita dada mwenye wowowo la kutepeta hamtatokwa na udenda?
   
 12. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  akizeeka atakuwa kama kopo la Toss
   
 13. yatima

  yatima JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 354
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yote tunayopanda tutegemee kuvuna - NAYE PIA ATAVUNA..........laiti mahela hayo angesaidia maskini - wangemshukuru na kumwombea dua pia.
   
 14. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Laana zngine watu wanajitakia wenyewe
   
 15. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Watu wanaiga visivyoigwa tena vya hatari! Khaa
   
 16. p

  preshsleo New Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahahahhahahahaha
   
 17. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Asee, kuna kaukweli hapa.
   
 18. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...nice pair. kweli atakamata wengi tuu. people pimp their rides so y not pimp ur body.
   
 19. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ndio maana yake. watu wanatokwa na povu na kusema angewapa hizo pesa maskini, hapendezi, bogas nk wakati ukweli upo moyoni.
   
 20. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kweli kuna mmoja kapita hapa nilipo yani unaweza sema anajisaidia humohumo,daaah kafungasha balaa
   
Loading...