Lyrics Master
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 479
- 667
Huwa nafurahi sana nikitembelea facebook page ya KRC GENK team anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta, kinachonifurahisha ni jinsi wabongo wanavyovamia hiyo page as if ile page ni ya wabongo, yani wabelgiji wenyewe hawafui dafu kwa uwingi wa comment za wabongo..
Hii inaashiria kuwa wabongo tunapenda sana vitu vyetu ila basi tu kuna sehemu tumekwama.
Hii inaashiria kuwa wabongo tunapenda sana vitu vyetu ila basi tu kuna sehemu tumekwama.