Wabongo tunapenda ubuyu kuliko vitu vya msingi oneni Sister fey anavyotrend

Wabongo nimeamini tunapenda umbeya majungu na kufatilia ya watu

Tunapenda kudeal na yaso msingi

Issue ya sister fey na kibenten chake personal life yake watu wananunulia bandoo

Nimeamini watz wengi wanapenda mambo ya umbeya na udaku lakini vya msingi hapana

Waacheni wadamshi tyuu

Bongo pambee
Wewe mwenyewe kumuundia thread tayari umesha mpa kiki tosha ko be careful with your heart my young dear,afu wengi wao Ni wanaume wa DAR ndo mnapenda kuwa viben ten na kushinda mitandaoni kutwa ko ndo mnamuongezea kiki na kumfuatria umbea na udaku wake,sisi wa mikoani tuko bize na mashamba ok.
 
Wew nin ke au Me mana avata yako imenipa ukakasi kwa kweri.....
496938.jpg
 
Wewe ulijuaje ana-trend kama humfatilii? Kwa hiyo wewe mwenyewe unashiriki kikamilifu kwenye ubuyu huo.
 
Back
Top Bottom