Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,405
Tanzania tuna watu wa ajabu sana! Watu waliokuwa wanabeza Serekali zilizopita kuwa ni Dhaifu hazikusanyi kodi Leo ndiyo hao Leo wanalalama Serekali ya Awamu ya Tano inavyoziba Mianya ya ukwepaji Kodi Bandarini,Utalii,na kwingineko! Lazima Msome alama za nyakati ya Serekali ya Mh Magufuli hairudi nyuma katika suala la Ukusanyaji kodi! Kama hamuwezi kulipa kodi za Watu Bandarini ziko nyingi nendeni huko Mombasa,Beira na Weles, na Mbuga ziko nyingi kakwepeni kulipa kodi huko! Tumechoka na kelele zenu ,Wacheni Viongozi Wazalendo Wafanye kazi! "Shamba la Bibi limeuzwa" Poleni!