Wabongo mpooo! !!

Mr Putin

JF-Expert Member
Feb 13, 2019
486
491
Visionaries always think big!

IMG_20191204_172526.jpg
IMG_20191205_092446.jpg
IMG_20191205_092439.jpg
IMG_20191205_092425.jpg

Screenshot_2019-12-05-09-56-43-1.png
 
Haufatilii tu mkuu tumejitangaza lig ya uingereza enz za msoga na hiz zama za chato tumejitangaza sana NFL ,city coaches za londoni yan full maserengeti ile tuzo hatukupewa kwa huruma tumejitangaza kuna watu wanachapa kazi
 
Waje rwanda kufanya nini ? Kuangalia zile sokwe mbili mlizonazo kwenye kapori kenu ?
Eti mnajisifu kuwa na milima mingi,ile sio milima,ni vijibonde vidogo vidogo
 
Haufatilii tu mkuu tumejitangaza lig ya uingereza enz za msoga na hiz zama za chato tumejitangaza sana NFL ,city coaches za londoni yan full maserengeti ile tuzo hatukupewa kwa huruma tumejitangaza kuna watu wanachapa kazi
Unaweza nipatia aina ya tangazo la Tanzania kwenye NFL.
 
Sisi bila matangazo tutafika mbali tukitangaza tutafika mbali zaidi
 
Wale mamluki wa Kagame aliokuwa anawapigia kelele mzee Mtikila kwa mbaaaali nawaona kwenye huu uzi. Kagame Kagameee nendeni kwenye forum za Rwanda msitujazie Server kisa huyo basha wenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom