Wabongo mnaomiliki TV na TBC ,jiungeni huku

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Katika hii link hapo chini kuna television za nchi nyingi sana ,isipokuwa Tanzania siioni,television zote na baadhi zipo live kabisa ,wausika kama mkisoma apa basi ni bola mkafuatilia na kutuungia japo chaneli tatu tu zitatutosha kabisa ,yaani ata wakenya wamo. ,msumbiji na wazenji nasikia wamo mbioni

http://wwitv.com/portal.htm
 
Kuwaambia waeke streaming au video online itakuwa 'kuwaonea' maana hata radio tu wanashindwa kueka online. Bongo tambarare.
 
Wakipewa hela wanakula.elimu bado duni sana. tuwasomesheni wanetu jamani, ndio kilichobaki kazi zipo kibao tz.
 
Back
Top Bottom