Wabongo Michigan...Tangazo!

This was big man, how did you put in matangazo madogo madogo? Thanks anyway, nimemuona MWK kwenye picha, safi sana!
 
Tunakutana everyday hapa sema hatuonani!
Ila kama kuna uwezekano wa wana jf kukutana sometimes pia nasupport
 
kitila,

Heshima yako natanguliza.

Tatizo ni kwamba hamna sehemu ya matangazo "makubwa" nd'o maana
tukaitundika humu kwenye matangazo tu!Hata hivyo it was a good get
together and we look forward to more meetings with political leaders from
home....at least those with a mwananchi-based-mtazamo!
 
Back
Top Bottom