Wabongo maumivu mpaka lini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo maumivu mpaka lini

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kikambala, Jun 24, 2009.

 1. K

  Kikambala Senior Member

  #1
  Jun 24, 2009
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watanzania kwa kweli tunaumizana kuliko watu wengine hapa duniani.ni kwamba kila utakacho nunua dukani ujue umeibiwa;kwa mfano ukinunua saruji ujue kuna kilo kama tano hivi mpaka nane hazipo,ukinunua nyama, sukari, unga, maharage.vyote kama ni rejareja ujue umeumia.haya siku hizi hata sabuni hizi za bongo za unga na vipande hazitoi povu kabisa utafikiri unafulia mbao,petrol ndio usiseme mafuta ya taa kibao,tunashindwa na vijinchi kama Rwanda Burundi hata Zambia wana sabuni nzuri sana,haya halafu hawaTBS sijui wanafanya nini maana wapo na wanaona sana wakisha toa aprove basi hata kucheki prodact inakuwa basi tena.ukinunua dawa ya meno utakuta hewa tupu kwenye tube,wajameni haya ni baadhi tu.nawasilisha hoja
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huo ndio utamaduni wa Tanzania...everyone is fisading someone, somewhere, sometime!
   
 3. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mkuu, hapa umenena! It is a war of all against all. Kila mmoja akimbahatisha mwenzake anamfisadi!
   
Loading...