Wabongo: Hii ni haki ama dhulma tunafanya!

Ndugu Kithuku, heshima yako.
Mfano mwengine uko jikoni kadri tunavyojadiliana hapa...Mugabe
keshasema haondoki!!!...Huko nako je?

Umh! sasa wewe, comoro na Mugabe vinaingilianaje? unafikiri Mugabe ni mtu mjinga? Kwani aliyeleta matatizo yote yale ni mugabe?kwavipi? kwasababu alitaka kunyang'anya ardhi? halafu waingereza na watu wengine wakaweka vikwazo au nini. Sisi tuliponyang'anya magorofa ya WAHINDI KULE KARIAKOO kipindi cha nyenyere tulifanya vibaya? Mugabe kwa taarifa yako, alikuwa na lengo zuri tu. lakini, lengo lake liishia pabaya akakosa na sapoti, ndo maana yamefika yale. ila angafanikiwa katika plan yake, angesifiwa tena kwa vifijo na ndelemo hata na wewe mwenyewe. imefika wakati waafrica tusiwe tunaendeshwa tu na wazungu. walinyang'anya ardhi ya wazimbambwe, waafrika wa zimbabwe hawana ardhi, wazurungu walio wengi wana miliki mashamba maelfu ya hekali, wanapata hela na wanazivusha kwenda kuwekeza Uingereza na marekani. pamoja na kwa mba walilipa kodi. pia, pamoja na kwamba, wale ni wazungu wakizimbabwe, siku zote hujifanya wenyejiwageni, kama walivyo wahindi wa hapa, wanaochumia hapa kivulini na kupeleka hela Canada na India. kama kuna mtu aliyefika Canada, au Marekani atajua hilo.

Hii ni meseji sent kwa wahindi wa tz, kuna siku tukiamka, hivyo viwanda vyenu vya kifisadi, mnavyofanya biashara na wana ccm, vitakuja viwatokee puani. na hakika, tutafunga na kutafuta hata hizo account zenu tuzitaifishe dunia nzima. sorry kwa kutoka nje ya mada. ila huyu jamaa anaemlaumu Mugabe, hakutoa point yoyote ile ya kusapoti mawazo yake ya kutaka tuivamia zimbabwe tumtoe mugabe. chao.
 
Back
Top Bottom