Wabongo: Hii ni haki ama dhulma tunafanya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo: Hii ni haki ama dhulma tunafanya!

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Mar 18, 2008.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Mar 18, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Jamani wakuu mimi mwenyewe nimeshangaa kamaa hii ni sisi wabongo,
  ama ni stihizai???This is not fair and I don't know how we can justify such a position....a'fu tunasema eti Bushi!

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  Comoros, the island nation off the east coast of Africa, used its army and African Union soldiers to take back control of the island of Anjouan from its self-proclaimed leader, Muhammad Bacar. The troops arrested a wounded Anjouanese man, suspected of collaborating with Mr. Bacar, after shooting three rockets into his house in Mutsamudu during the operation. The army said it had located Mr. Bacar.


  [​IMG]

  Comoran and African Union soldiers arrested the wounded man during the operation to reclaim Anjouan. The African Union forces on the island included troops from Tanzania and Sudan. Anjouan is located in the Indian Ocean in the Mozambique Channel. ​

   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  BUSH? KWA WENGINE HAKI KWA WENGINE DHULMA
   
 3. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #3
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Miili ya jamaa zetu ishaanza kurudishwa sasa.
   
 4. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  MATUNDA YA UPEPARI........!?
   
 5. YournameisMINE

  YournameisMINE JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2008
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 2,451
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 145
  msee Ab,
  hii tayari ipo hapa mazee, mara moja moja pekenyua kabla ya ku-post!! asante.
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Nilikua sijajua imepostiwa kule Bongo political section maana
  nilidhani ni swala la East Africa.Hamna noma bro na karibu sana!
   
 7. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #7
  Mar 21, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Some people call it imperialistic tendencies!
   
 8. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  EXACTLY........!
   
 9. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waafrika kila siku tunalalamika.

  Darfur na Rwanda kumetokea human rights atrocities na genocide, watu wamepiga kelele na kuomba msaada wa kimataifa, wengine wakalalamika kwa nini waafrika wenyewe hatuwi proactive.

  Sasa AU inafanya jitihada kuhakikisha hali haizidi kuwa mbaya, na kum contain huyu two timing two bit term extending gangster (Mohammed Bacar), tunalalamika pia.We should be proud of this effort, na kuwa sasa tumepiga hatua beyond kufumbia macho serious and life threatening issues kwa excuses za myopic diplomatic clauses za "non intervention" na "non interference in internal issues".

  Anybody who is against this mission makes me seriously doubt their understanding of what is going down in The Comoros.Perhaps, in addition to disposing the notion that we have a terrible case of "imperialistic tendencies" it would be most beneficial if we could further explain how does that play in the mix.

  My understanding is that the president of Anjoun (who is in a beef with the president of The Union of Comoros) does not want to give up power even after his term was up last year, he held an illegal, unconstitutional and sham election.If this type of gangsterism is allowed elements of secession and unconstitutional term extensions will have a healthy reason to sprout and spead elsewhere, fanning further civil wars in the already ravaged continent.

  This is like the president of Zanzibar in a beef with the president of Tanzania refusing to step down and threatening secession (some people would sadly find that desirable, I would choose other means if that was really the aspired end).So then why can't the president of Tanzania (The Union of Comoros in this case) a small archipelago nation with a feeble army, enlist the help of AU in maintaining law and order?

  Kama kuna malalamiko yoyote basi yawe ni juu ya kwa nini AU haijapeleka majeshi huko Darfur, siyo ju ya kwa nini tumepeleka majeshi Comoro.

  By the way hii siyo effort ya wabongo, ni effort ya AU.Kwa hiyo kuwalaumu wabongo kwa kitu kilichopitishwa na AU summit is a bit on the stretching side.
   
 10. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2008
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sawa ndugu Pundit, lakini mbona Maj Gen Laurent Nkunda bado anatesa kule Congo? Na iko mifano mingine ya mijambazi inayofumbiwa macho hata sasa!
   
 11. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Tukianza kuvamia viongozi wanao endeleza utawala kwa nguvu bra lote la Afrika litawaka moto.
  Hata M7 itabidi naye ang'olewe.
   
 12. Pundit

  Pundit JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2008
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 3,741
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  That is why I said, if there is anything to be said about this effort is that more of it should be done, not less.
   
 13. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2008
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  NI JUKUMU LA VIONGOZI WA DRC KUOMBA SUPPORT AU....WAKIFANYA HIVYO KAMA COMORO NDIPO ATAPATA HIYO SUPPORT NA SIO KUALIKA NCHI BINAFSI ITAKUWA KAMA VURUGU ZA KABILA NA MOBUTU...!
   
 14. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #14
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hapo sasa nd'o swali lenyewe mkuu mwenzangu.
  Afrika imejaa viongozi wa kiimla na hata sijui kama
  nikiusafisha nyumba tutaanza wapi.

  Nakubali mawazo ya kina Pundit kuhusu the fact that more
  needs to be done to counter African political problems but
  the approach is what will either make or break it.
  Changamoto inakuja hapo ubavu wa pili wa Africa ya kati maana
  naona Mugabe keshaamua liwe liwalo haondoki uongozini.Keshasema upinzani will not rule while he is alive!!!!...
  Je sasa huko nako tutapeleka majeshi?...Ni swali tu.
   
 15. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #15
  Mar 25, 2008
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ndugu Kithuku, heshima yako.
  Mfano mwengine uko jikoni kadri tunavyojadiliana hapa...Mugabe
  keshasema haondoki!!!...Huko nako je?
   
 16. Kidzogolae

  Kidzogolae Senior Member

  #16
  Apr 22, 2008
  Joined: Apr 20, 2008
  Messages: 134
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii ni meseji sent kwa wakenya,wanaosema sisi watz hatujui kupigana vita. wanakataa kwamba, hata waganda hatukuwapokonya mikononi mwa Idi ammin. Comoro wamekuwa marafiki zetu sana. tunasafirisha nyama nyingi sana toka Tz kwenda comoro. ni soko letu kubwa. lazima tulilinde. pili sisi na wangazija tuna damu moja kuliko hata na wakenya. lazima tushirikiane na rais wao. HONGERA JESHI LA TZ. wakenya pateni meseji hiyo, mmepakana na sudan, lakini hamjawai hata kukohoa kuongea tu kuzima Darfu ya majirani zenu. wakenya mnatia aibu. kama tulivyowaokoa waganda na idi amini, na kama tulivyo waokoa wacomoro na muhamad bacar, ndivyo wakenya wanavyotakiwa kujua kuwa tz sio nchi ya kudharauliwa kama wanavyofikiri. sisi ni noma. pia, HII NI MESEJI SENT KWA WAZANZIBAR. mkitaka tu kujitenga, mtapata kipigo kama cha muhamad bacar. wewe seif sharif hamad unasikia pamoja na lipumba? safi. this is my opinion, na ninao uhuru wa kutoa maoni yangu yoyote yale. take care wanaJf.
   
 17. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #17
  May 2, 2008
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wakuu,

  Sasa mbona mkuu unaongea kama vile wewe ni msemaji wa watanzania wote? Count me out! Halafu wewe inabidi ufuatilie vizuri historuia ya Tanzania kupeleka ASrmy huko Comoro.Plz usipotoshe hii debate!


  Well,Pia rais Mbeki wa sauzi hatakiwi kuongea chochote kuhususu BDemokracy maanake yeye ni mnafiki anamsapoti Mugabe ambae anatesa wazimbabwe kila siku.

  Pia kama African Union iliomba msaaada kwa TZ that's fine.BUT Kikwete alifuata procedure kupeleka jeshi comoro?

  Je,Parliament iliweza kuaprove jeshi letu kupelekwa huko?

  So,far mpaka sasa hivi gharama za hao jama huko ziko gizani kwamba ni nai anawadhamini?

  It means siku moja kikwete anaweza kuibuka na kuivamia nji yoyote kama KEnya au Uganda bila kupata parliament blessings?
   
 18. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pundit I think AU it has to work in all problematic areas lakini naona kama kuna double standards kama wameweza ku-intervene comoro kuna sehemu nyingine zilizokuwa na matatizo kama huko Darfur, Laura Nkunda -DRC, akina Joseph Konny kule kaskazini mwa uganda hata hawa FNL wanaoendelea kusumbua burundi. May be anyone who has idea of SOP (Standard Operating procedures) za AU anifahamishe kwani to be honest am not happy na AU inavyoendesha mambo yake..Ya zimbabwe nayo yako njiani au ndio mshikaji wetu yule acha akomae mwenyewe!!!
   
 19. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #19
  May 6, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kuvamia kichwa kichwa kuna matatizo yake lazima uangalie diplomatic point of view, historical background za nchi,foreign policy pamoja na zile za ndani yaani legislative pamoja na executive katika kufikia maamuzi hayo. Hapo pia lazima kuwe na personal interest kwa yule mwenye turufu kubwa ya nchi na wakati mwingine hii ndio inachangia kwa asilimia kubwa kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi wetu wa kiafrika. Kwa Kesi ya DRC, Uganda sizungumzii Burundi kwa sababu ile ni power struggle tu ambayo watu wanataka kutumia rasilimali zao kwa usawa yaani kundi moja linaona kama limesahauliwa. Kesi ya Uganda na DRC ni tofauti kidogo hapo utakuta kwamba hawa viongozi wetu wamegeuzwa kuwa madalali wa silaha, almasi na rasilimali nyingine za thamani jamani kaskazini mwa Uganda kuna rasilimali ambayo imejificha ambayo pia ipo pia kusini mwa Sudan. Sasa wewe unaweza kukubali kwa akili yako Maswahiba wawili waliosoma pamoja Mlimani enzi hizo mmoja anamtembelea mwenzake halafu yule mwenyeji analazimisha arudi nyumbani siku hiyo ilhali mgeni hajaridhia na hali ya hewa. Kesho yake unasikia mgeni kapata ajali ya Helikopta amefariki dunia kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Huo ni unafiki na uzandiki ,tamaa ya mali na kutumiwa vibaya.Sina haja ya kuendelea inatia uchungu sana.
   
 20. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #20
  May 6, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duu We Acha Tu
   
Loading...