Wabongo Hatuna hata Ndege nzuri wanatushinda hata Wa Ethiopia jamani? Aibu kubwa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,079
151111143253-ethipoian-787-tease-exlarge-169.jpg

Ni Jambo la Aibu nchi yetu kutokuw ana Ndege Ahhhhhh Wakati Madini tunayo gesi tunayo uchumi tunao tunaukalia?
 
Attachments

  • Ethiopian ndege.jpg
    Ethiopian ndege.jpg
    30.6 KB · Views: 464
Pombe yuko Kazini naamini atatuacha na midege mingi kama hii utashangaa sana Mizizi yao
 
Ethiopia has officialy become the first in Africa and the second in the world to receive Boeing 787 Dreamliner

SEATTLE, August 14, 2012 – Boeing and Ethiopian Airlines celebrated today the delivery of the airline's first 787 Dreamliner. It has also once confirmed the track record of Ethiopian Airlines for being a pioneer in Africa. Since the beginning of Boeing's jetliner manufacturing in the 1950s, Ethiopian Airlines has always been the first in Africa to receive the aircrafts.
DSCN1301.JPG

The ribbon-cuting ceremnoy for the 787 Dreamliner delivery
"Today begins the first day in a new era of flying for our passengers and brings us even closer to our vision for the future, Vision 2025," said Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian Airlines. "We are pleased to be the first airlines in the world outside Japan to receive this technologically advanced aircraft. We have been waiting for this airplane and now that we officially have it and will show it to the world, I can say with pride, it was worth the wait. This airplane is going to move Ethiopian Airlines to the forefront of aviation leadership around the globe."
DSCN1311.JPG

Ato Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian Airlines, checks out a seat in first class Tuesday after Boeing's formal delivery to the airline of its first 787 Dreamliner.
The 787 Dreamliner is composed of light-weight composites and features numerous system, engine and aerodynamic advancements making it more efficient to operate compared with its competition. It is the first mid-sized airplane capable of flying long-range routes, enabling airlines to open new, non-stop routes preferred by passengers.
Untitled.png

With Captain Kaleb Mamo, An Ethiopian Airlines Captain who will fly the Dreamliner
"Today marks not just another milestone for Boeing and Ethiopian Airlines, but a new beginning in out 65-year partnership," said Van Rex Gallard, vice president for Sales for Africa, Latin America, & Caribbean, Boeing Commercial Airplanes.
DSCN1354.JPG

With The Ethiopian Airlines Flight Attendant Crew Members for the Dremliner's Frist Flight
"Ethiopian Airlines continues to show their strong leadership in African aviation and their growing presence around the globe. Being the first in Africa an one of the first in the world further confirms their position globally."
DSCN1365.JPG

With Ato Addisu Legesse, Ethiopian Airlines Board Chaiman & Ato Tewolde Gebremarian, CEO of Ethiopian Airlines
After taking delivery, Ethiopian will fly its Dreamliner to Washington D.C. where the aircraft will be on display and is expected to be visited by VIP guests and media.
ETH-first-787-position-4-final-assembly11.jpg

The Ethiopian Airlines 787 Dreamliner at its final assembly line at Boeing's Manufacturing plant in Everett, Washington, just outside of Seattle
The aircraft will then make its inaugural trip to Africa with its first revenue flight from Dulles International Airport to Bole Addis Ababa International Airport.
Ethiopian%20787-8%20In-Flight_K63361.jpg

Ethiopian Airlines has nine more 787 Dreamliners remaining on order. Four aircrafts are expected to be delivered by the end the year, and the remaining five by 2014.
I had a great privellage to wintess this historic event at the Boing plant in Seattle Washington, also become one of the first passengers of the Ethipan Airlines 787 Dreamliner.

Kwani Wahabesh unawabeza,nadhani tuimarishe kwanza usafiri wa majini kabla kabla ya hizo ndege
 
Ethiopia has officialy become the first in Africa and the second in the world to receive Boeing 787 Dreamliner

SEATTLE, August 14, 2012 ? Boeing and Ethiopian Airlines celebrated today the delivery of the airline?s first 787 Dreamliner. It has also once confirmed the track record of Ethiopian Airlines for being a pioneer in Africa. Since the beginning of Boeing?s jetliner manufacturing in the 1950s, Ethiopian Airlines has always been the first in Africa to receive the aircrafts.
DSCN1301.JPG

The ribbon-cuting ceremnoy for the 787 Dreamliner delivery
?Today begins the first day in a new era of flying for our passengers and brings us even closer to our vision for the future, Vision 2025,? said Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian Airlines. ?We are pleased to be the first airlines in the world outside Japan to receive this technologically advanced aircraft. We have been waiting for this airplane and now that we officially have it and will show it to the world, I can say with pride, it was worth the wait. This airplane is going to move Ethiopian Airlines to the forefront of aviation leadership around the globe.?
DSCN1311.JPG

Ato Tewolde Gebremariam, CEO of Ethiopian Airlines, checks out a seat in first class Tuesday after Boeing's formal delivery to the airline of its first 787 Dreamliner.
The 787 Dreamliner is composed of light-weight composites and features numerous system, engine and aerodynamic advancements making it more efficient to operate compared with its competition. It is the first mid-sized airplane capable of flying long-range routes, enabling airlines to open new, non-stop routes preferred by passengers.
Untitled.png

With Captain Kaleb Mamo, An Ethiopian Airlines Captain who will fly the Dreamliner
?Today marks not just another milestone for Boeing and Ethiopian Airlines, but a new beginning in out 65-year partnership,? said Van Rex Gallard, vice president for Sales for Africa, Latin America, & Caribbean, Boeing Commercial Airplanes.
DSCN1354.JPG

With The Ethiopian Airlines Flight Attendant Crew Members for the Dremliner's Frist Flight
?Ethiopian Airlines continues to show their strong leadership in African aviation and their growing presence around the globe. Being the first in Africa an one of the first in the world further confirms their position globally.?
DSCN1365.JPG

With Ato Addisu Legesse, Ethiopian Airlines Board Chaiman & Ato Tewolde Gebremarian, CEO of Ethiopian Airlines
After taking delivery, Ethiopian will fly its Dreamliner to Washington D.C. where the aircraft will be on display and is expected to be visited by VIP guests and media.
ETH-first-787-position-4-final-assembly11.jpg

The Ethiopian Airlines 787 Dreamliner at its final assembly line at Boeing's Manufacturing plant in Everett, Washington, just outside of Seattle
The aircraft will then make its inaugural trip to Africa with its first revenue flight from Dulles International Airport to Bole Addis Ababa International Airport.
Ethiopian%20787-8%20In-Flight_K63361.jpg

Ethiopian Airlines has nine more 787 Dreamliners remaining on order. Four aircrafts are expected to be delivered by the end the year, and the remaining five by 2014.
I had a great privellage to wintess this historic event at the Boing plant in Seattle Washington, also become one of the first passengers of the Ethipan Airlines 787 Dreamliner.

1390616702918272.jpg
 
Enjoy you...................

attachment.php

attachment.php

attachment.php

WA BONGO TUAMKENI WENZETU WA ETHIOPIA WANATUACHA NYUMA KWA KILA KITU SISI BADO TUMELALA USINGIZI

MZITO TUAMKENI
 
Attachments

  • abiria.jpg
    abiria.jpg
    22.5 KB · Views: 790
  • kwandani.jpg
    kwandani.jpg
    16 KB · Views: 791
  • kwa ndani pia.jpg
    kwa ndani pia.jpg
    30.4 KB · Views: 747
Kuna kitu kwenye Uchumi kinaitwa "Opportunity Cost" yaani, ukiwa na raslimali chache au uwezo usio kidhi vitu vyote kwa pamoja ni kuchagua kuwa nini ufanye
Mfano: Kuna watu wana pata hela wana nunua gari zuri tu wakati wana kaa kwenye nyumba ya kupanga ILA kuna watu wana pata hela wanaona wajenge kwanza ndio watafute hela ya gari
Au; Kuna mtu anapata hela ananunua TV ya milioni huku anaishi kwenye chumba kimoja au Mwingine ananunua simu ya Milioni huku hana hata Baiskeli - Kiuchumi tunasema hiyo ni jinsi mtu mwenyewe anavyotoa kipaumbele (opportunity cost)

Ninachotaka kusema hapa ni kuwa; walichofanya Ethiopia ni Opportunity Cost
Wao wameona Shirika la ndege ndio kipaumbele kwao hivyo wakalianzisha na kulisimamia japo watu wana kufa kwa njaa.
na Mfumo wao wa Elimu na Afya bado haujatengemaa kabisa

Simaanishi hatuna cha kujifunza hapa ILA kwa serikali, umuhimu mkubwa ni kwa raia wake kupata Usafiri wa hakika na wa bei nafuu; ndio sababu hata iliweza kukubali Fast Jet ije TZ wakati nchi nyingi ikiweko Kenya wamekataa.

Kimsingi kumekuwa na uzembe kwenye uendeshaji wa Shirika letu la ndege japo sio hilo peke yake..kwani mashirika mengi hapa ya serikali watu wana fanya tu bora liende...
 
Wa-Tanzania kwa kusema maneno ninawapa ushindi lakini kwa vitendo ni zero hakuna kitu. Tanzania ina Rasilimali nyingi za utajiri kuliko EthiopiA Lakini bado Tanzania ni masikini na inaomba nje misaada kwa wafadhili Tuna dhahabu tuna Uranium,tuna Almasi, tuna madini karibu yote yanapatikana nchini mwetu tunayo Gesi lakini bado masikini tunaomba omba mpaka lini? Tanzania inayo mali nyingi kuzidi Ethiopia lakini wenzetu kwa suala la ndege wametuacha nyuma ukikataa au kukubali kazi kwako. Endelea kwenda nje ya nchi kuomba omba

0c45ca17d6L.jpg
 
Attachments

  • omba omba.jpg
    omba omba.jpg
    21.8 KB · Views: 156
Wa-Tanzania kwa kusema maneno ninawapa ushindi lakini kwa vitendo ni zero hakuna kitu. Tanzania ina Rasilimali nyingi za utajiri kuliko EthiopiA Lakini bado Tanzania ni masikini na inaomba nje misaada kwa wafadhili Tuna dhahabu tuna Uranium,tuna Almasi, tuna madini karibu yote yanapatikana nchini mwetu tunayo Gesi lakini bado masikini tunaomba omba mpaka lini? Tanzania inayo mali nyingi kuzidi Ethiopia lakini wenzetu kwa suala la ndege wametuacha nyuma ukikataa au kukubali kazi kwako. Endelea kwenda nje ya nchi kuomba omba

0c45ca17d6L.jpg

T.I.-1.jpg
 
Back
Top Bottom