Wabongo bwana....

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Morning pipoz!!!!!
Nilipoanza kazi kampuni A hakuna aliyeshangaa zaidi ya kunipa hongera... Kampuni nzuri yenye hadhi yake, ila siku nilipoacha na kuhamia Kampuni B kila mtu aliniona kama vile sikutumia akili ya ziada katika kufanya maamuzi..Wengine ooh "umeacha kazi kampuni ile, hutopata kampuni nzuri kama" uzuri na ubaya wa kampuni yangu umeujuaje wakati hujawahi kufanya kazi pale??

Wengine "yan umeacha kazi kampuni nzuri vile ukaenda kwenye kikampuni cha ajabu ajabu hata ofisi yao haieleweki kama ni ofisi ama store" Je uzuri wa ofisi ndiyo kulipwa mshahara mzuri????

Wengine "ingelikuwa mimi ndio wewe hakika nisingefikiria kuacha kazi pale, kwanza ofisi nzuri, full kiyoyozi bla blah nyiiingi" hakumbuki kwamba SIRI YA MTUNGI AIJUAE KATA na KITANDA USOCHOKILALIA HUJUI KUNGUNI WAKE
 
mi ndio maana huwa nakua na maamuzi yangu mwenyewe,kichwa changu kina serikali ipo full na inaudilifu,sijawai kujutia maamuzi,pili huwa sipend makocha kwenye maisha yangu,people majungu ndio yanaturudisha nyuma,utakuta watu wanakuta kwa muda wa masaa 3 ktk masaa hayo takribani masaa matatu kasor dk 5 muda wote ni majungu.kujadili maendeleo ya watu,huwa sipend na nachukia sana majungu,ikitokea mtu ananipa mimi jungu huwa ninachomekea story nyingine,akizid namchana live
 
umeona Ruhazwe JR.... yan wanataka vichwa vyao ndo viwe serikali yako.... utafikiri wao ndo walikutafutia hiyo kazi!!
 
Last edited by a moderator:
umehama kazi daughter?

no daddy... kuna rafiki yangu ndo alikuwa ananisimulia jinsi watu wanavyomzonga kuhusiana na kuacha kwake kazi na kuhamia kampun nyingine isiyo na hadhi tofauti ya kampuni ya awali... ila ye anachosema anafata maslahi na sio uzuri wa kampuni....
 
mmh ni kweli dear, reputation ni ile miaka ya mwanzo tu ya kutengeneza career, huku mbeleni cha muhimu kuangalia ni mpunga.
mfano mie watu8 kwa sasa nafanya kazi kampuni kubwa tu sio Tanzania bali duniani, lakini ni wapuuzi wapuuzi hata hawalipi vizuri mtu wa nje wala hawezi elewa ukimwambia hivyo anaona wachagua kazi...
 
Si ndo hapo... me kuna jamaa yangu mmoja alipata kazi katika kampuni moja hivi iliyokuwa inaongoza East Africa kwa mapato katika Industry (jina kapuni) lakini ilikuwa inalalamikiwa na wafanyakkazi wake.. mishahara wanabana... haijali wafanyakazi... lakini ukimwambia mtu wa nje kuwa nafanya kampuni ABC anakuheshimu kweli kumbe SIRI unaijua mwenyewe!
 
unakuta ulikuwa unafanya ofisi ina viti vya kuzunguka,full a/c,flat screens kwenye corridor,unapewa gari(misharti kibao),ikifika muda wa kwenda nyumbani unapack gari lao,unaondoka kwa miguu,mwisho wa mwezi hela imeishia kwenye lunch na kupanda,watoto hawapati mahitaji yao......alafu ukihamia penye viti vya chuma,una vifaa vya muhimu kufanyia kazi zako zote,hamna a/c,unapata lunch,na jioni unapanda daladala kiroho safi,watoto wanakula wanafurahi,na unafanya maendeleo,account inasoma vizuri zaidi,wanalalamika....watu bwana
 
Morning pipoz!!!!!
Nilipoanza kazi kampuni A hakuna aliyeshangaa zaidi ya kunipa hongera... Kampuni nzuri yenye hadhi yake, ila siku nilipoacha na kuhamia Kampuni B kila mtu aliniona kama vile sikutumia akili ya ziada katika kufanya maamuzi..Wengine ooh "umeacha kazi kampuni ile, hutopata kampuni nzuri kama" uzuri na ubaya wa kampuni yangu umeujuaje wakati hujawahi kufanya kazi pale??

Wengine "yan umeacha kazi kampuni nzuri vile ukaenda kwenye kikampuni cha ajabu ajabu hata ofisi yao haieleweki kama ni ofisi ama store" Je uzuri wa ofisi ndiyo kulipwa mshahara mzuri????

Wengine "ingelikuwa mimi ndio wewe hakika nisingefikiria kuacha kazi pale, kwanza ofisi nzuri, full kiyoyozi bla blah nyiiingi" hakumbuki kwamba SIRI YA MTUNGI AIJUAE KATA na KITANDA USOCHOKILALIA HUJUI KUNGUNI WAKE

ndo mana huwa tunaona biasza wenzetu ni nzuri kuliko za kwetu,ndo maisha CL.
 
unakuta ulikuwa unafanya ofisi ina viti vya kuzunguka,full a/c,flat screens kwenye corridor,unapewa gari(misharti kibao),ikifika muda wa kwenda nyumbani unapack gari lao,unaondoka kwa miguu,mwisho wa mwezi hela imeishia kwenye lunch na kupanda,watoto hawapati mahitaji yao......alafu ukihamia penye viti vya chuma,una vifaa vya muhimu kufanyia kazi zako zote,hamna a/c,unapata lunch,na jioni unapanda daladala kiroho safi,watoto wanakula wanafurahi,na unafanya maendeleo,account inasoma vizuri zaidi,wanalalamika....watu bwana

si ndio hapo.... utafikiri wao ndo walikutafutia hiyo kazi!!!
 
Back
Top Bottom