Wabongo acheni kulalamika ovyo kwa aliye kuumba Mungu...

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
Stop Complaining and Be Grateful

If you think you are unhappy, look at them
baby-flood.jpg






If you think your salary is low, how about her?
child-begging.jpg






If you think you don't have many friends...
man-dog-letter.jpg






When you feel like giving up, think of this man
man-no-leg.jpg






If you think you suffer in life, do you suffer as much as he does?

man-heavy-load.jpg




If you complain about your transport system, how about them?

broken-bridge.jpg




If your society is unfair to you, how about her?

old-woman-heavy-load.jpg




Enjoy life how it is and as it comes

Things are worse for others and is a lot better for us

There are many things in your life that will catch your eye

but only a few will catch your heart...pursue those...
poor-school.jpg






starving-people.jpg





poor-children.jpg





baby-skull.jpg





no-shoes.jpg


poor-sleeping.jpg




still-complaining.jpg




observe-around-you.jpg



lets-be-grateful.jpg

complain-less-give-more.jpg
 
ni kweli hata ukinung'unika utazidi kuiumiza zaidi nafsi na au kukufuru kwa sababu hata ukilalamika sana dunia ishakuwa ilivyo.dawa ni kukubaliana na matokeo na kuilazimisha nafsi kuikubali hali hiyo huku ukizidi kumuomba mungu na kuongeza juhudi ili kukabiliana na ikibidi kujikomboa kutokana na hali au matukio mabaya yakuzungukayo.asante tena kwa picha zinazoamsha mishipa ya kiutu.asante sana.
 
Aisee! Hii niliwahi kuiona kwenye video za youtube kwa kusearch "sad stories" kwa kweli inatia huruma.
Tumshukuru mungu kwa jinsi tulivyo.
 
Thanks Mzizi Mkavu for reminding us that we should thank God, complain less and give more. I always forget that I'm very fortunate compared to many others and yet I keep on complainig for this and that...
 
Last edited by a moderator:
thank you MziziMkavu, hii n thread nzuri. too often we take what we have for granted and forget about the less fortunate, asante kwa kutukumbusha
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe mzuri huu umenikumbusha kwamba kuna mazingira kila mtu anatakiwa akubaliane na hali halisi hata kama upo katika hali gani kwani hata kama utalalamika tatizo lipo palepale kikubwa ni kumshukuru na kumwomba mungu hali ya maisha yako ibadilike kwani wakati mwingine matatizo yanatupata iwe kama fundisho na kutufanya tufikirie zaidi namna ya kujinasua
 
Kwa kweli siku plan ku log in today. kwa hili imenilazimu.

Mimi ni mgumu sana wa kutoa machozi, but for this, nimelia, watu ofisini wanashangaa, i can't explain to them.

Thank u God for making my life the way i'm, wasaidie wote walio katika shida, vita na njaa. Tuepushie mikosi na balaa katika bara letu AFRICA.
Tunatubu kwa yote tuliyofanya, EE MUNGU UTUREHEMU. AMINA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom