Wabongo 2 wanaswa, watuhumiwa kuiba moja ya gari za eskoti ya Kenyata, toka Stete House Nairobi

View attachment 845753

Jeshi la Polisi Kilimanjaro linawashikilia watanzania 2 kwa kukutwa na gari nyeusi aina ya Nissan V8 iliyoibwa toka ikulu ya Kenyata, Nairobi. Watu hao walinaswa ktk kizuizi cha polisi Boma ng'ombe wakati wakiisafirisha gari hiyo toka Kenya. Gari imekutwa na namba feki za usajili. Zoezi hilo limefanikiwa kwa kushirikiana taarifa za kiintelijensia kati ya jeshi la polisi la Kenya na Tanzania.

Kenyatta's Stolen Escort Car Found in Tanzania
Haaaa haaaa! Hii imenifurahisha sana,ningekua hapo boda ningewapongeza kwa ujasiri wa kuingia na kutoka state bila kudakwa! Ila hawa jamaa wajitafakari wako na state au soko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wezi wengine wana faida kwa nchi, hao jamaa wakanywe juice karibu na bahari maana akili waliyotumia si ya dunia hii.
Vile wa254 inaonesha wachovu sana gari inavuka mpaka wako usingizin tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom