Wabobezi wa Siasa nisaidieni Kujibu hili Swali Muhimu ili nisije Kupata ' Sapu ' katika Mtihani wangu wa Jumanne ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,468
108,621
Swali....

Kwanini unadhani Wanasayansi wengi duniani huwa wakijitosa katika Medani za Siasa au hata wakija kuwa Viongozi ( Marais ) huwa hawawi Viongozi wazuri, Makini, huharibu mambo mengi na huchukiwa na Wananchi tofauti ila Wachumi, Wafanyabiashara na Wana Historia ( Sanaa ) wakiwa Marais ( Viongozi ) hukubalika, hupendwa na Wananchi na huongoza nchi zao vizuri kabisa?

( Alama 60 )

Natanguliza Shukran Kubwa na nyingi kabisa Kwenu kwa mtakaonisaidia GENTAMYCINE ili niweze Kufaulu vyema huu Mtihani.
 
Hakuna chuo cha kuwa na swali hilo .afu chuo maswali yako very programmed huu ni upuuzi wako .chuo hakuna vya vyema.ni kuchonga bongo huru

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku zingine ni vyema kama ukiwa unajijua kabisa kuwa una Upumbavu wa Kurithishwa na una ' Uandamizi ' nao kabisa basi ukiona Mada ambazo Ubongo wako hauwezi Kukabiliana nazo katika Kuzidadavua Kimantiki na Kiuhalisia wake ni vyema ukanyamaza tu ili uwapishe ' Great Thinkers ' waje Wakufundishe jinsi ya Kufikiri na hata Kutumia Akili ambazo si tu huna lakini pia hukubarikiwa nazo na Mwenyezi Mungu kwakuwa alikuumba Makusudi ili uje kuwa Kielelezo bora cha Wapumbavu wote unaowawasilisha hapa duniani.
 
Swali....

Kwanini unadhani Wanasayansi wengi duniani huwa wakijitosa katika Medani za Siasa au hata wakija kuwa Viongozi ( Marais ) huwa hawawi Viongozi wazuri, Makini, huharibu mambo mengi na huchukiwa na Wananchi tofauti ila Wachumi, Wafanyabiashara na Wana Historia ( Sanaa ) wakiwa Marais ( Viongozi ) hukubalika, hupendwa na Wananchi na huongoza nchi zao vizuri kabisa?

( Alama 60 )

Natanguliza Shukran Kubwa na nyingi kabisa Kwenu kwa mtakaonisaidia GENTAMYCINE ili niweze Kufaulu vyema huu Mtihani.

SI wote wanajitosa kuna wale wanaojitosa na wale wanaoelekezwa kujitosa kwa malengo maalum.

Wale wanaojitosa wengi ni kwa manufaa binafsi na wakiingia humo (kwenye siasa) hujiunga na ule mtindo wa bora liende nipate kula yangu.

Wake wanaoelekezwa kujitosa wako wanasayansi na wapo pia wafanya biashara kama Donald Trump ambae huleta mikanganyiko kwa mtindo wake wa kutawala.

Hawa wanaoelekezwa kujtosa hufuata utaratibu maalum ulokusudiwa na Mungu.

Na mara nyingi hukumbuhswa kumtaja Mungu.
 
Mimi kiuelewa najua wale wanasayans wengi uwa akili zao zina face fact mno kiasi kwamba wana spend mda mwingi ku seek for truth from different problem, kwaio mtu wa namna iyo akishika nchi mtu akimchokoza lazima ajinyee maana ataanza find ni kwa nini amechokozwa na aadhibiwajwe ili lisijirudie tena soo mimi naon ni watu waku focus mno kuliko kitu ingine
 
Hilo swali lako rahisi angalia historia ya Marais wa Tanzania, afrika na dunia Kama huwezi kushugulisha kichwa Chalo sijui hata nafasi ya chuo uliipataje
 
Swali....

Kwanini unadhani Wanasayansi wengi duniani huwa wakijitosa katika Medani za Siasa au hata wakija kuwa Viongozi ( Marais ) huwa hawawi Viongozi wazuri, Makini, huharibu mambo mengi na huchukiwa na Wananchi tofauti ila Wachumi, Wafanyabiashara na Wana Historia ( Sanaa ) wakiwa Marais ( Viongozi ) hukubalika, hupendwa na Wananchi na huongoza nchi zao vizuri kabisa?

( Alama 60 )

Natanguliza Shukran Kubwa na nyingi kabisa Kwenu kwa mtakaonisaidia GENTAMYCINE ili niweze Kufaulu vyema huu Mtihani.

Wanasayansi wa kwelikweli huwa wanafanya vizuri, lakini wanasayansi waliopata vyeti kwa kuhonga ni majanga.
 
Hilo swali lako rahisi angalia historia ya Marais wa Tanzania, afrika na dunia Kama huwezi kushugulisha kichwa Chalo sijui hata nafasi ya chuo uliipataje

Mbona Majibu yako hapa yanaonyesha wazi kabisa ulipokuwa huko Chuo Kikuu kwa Upumbavu wako huu wa Kurithishwa uliwapa taabu sana Wakufunzi ( Wahadhiri ) wako na pengine hata Kumaliza Kwako Chuo hapo Kwao ilikuwa ni Sherehe Kubwa kwani ' Mzigo Kero ' umeondoka.
 
Hili halina ukweli hata kidogo. Taaluma haiwezi kuamua aina ya uongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli nduyangu Mimi naona hapa tatizo in mfumo wa kiuongozi kutokuwa imara.Tungekuwa na mfumo bora wanamna ya kuwapata Viongozi wakuu wa kiutawala na kuwatenganisha na wanasiasa hats kama Rais angelikuwa ni mhitimu wa Darasa la saba na anapendwa sana na wananchi awaongoze iwe kwa ushawishi wake au kituchochote kwa maana ya uwezo wowote alionao anaweza akawa kiongozi mzuri kuliko hata msomi wakiwango cha PHD. Ungozi nikarama. Mfano mzuri ni Machifu enzi hizoo.
 
Back
Top Bottom