daby mouser
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 206
- 72
Gazeti la Marekani Cristian Science Monitor lilinakili maneno ya Bw.Patrison ambae alipongeza Jamuhuri ya Kiislam ya Iran
kuinasa RQ170 mwaka ulopita akisema:
Kunaswa kwa mara nyengine tena ndege ya kijasusi ya Marekani aina ya Scan Eagle NQ1 ni mafaanikio na kuonyesha kiasi gani
Iran imeendelea kiteknolojia.
Akiendelea kusema: Teknolokia ilotumiwa kunaswa Scan Eagle NQ1 inaitwa UDANGANYIFU ambayo imetumiwa na wabobezi wa Iran kutumia GPS ndege hiyo, Teknolojia hii inatumiwa kuchanganya sistim ya ndege na kusikia ujumbe wa kuamrishwa kushuka na kudhani kua amri na ujumbe huo ni wa kutuo kikuu na kushuka katika mikono ya adui.
Akimalizia kwa kusema: Ila teknolojia hii hutmiwa pale tu unapokua unataarifa zaidi ya ndege, La ajabu ni kwamba Je! Iran ilikua na taarifa kamili ya Scan Eagle NQ1?!
Na teknolojia hiyo nani kawafundisha? Hii ni ishara kua Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imesonga mbele katika teknolojia ya kivita kiasi ya kwamba hakuna anaejua teknolojia yao imefikia wapi ni hii ni hatari kwa kila nchi itayo thubutu kuivamia Iran hasa Marekani na Israel.