Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Mkapa 1994???? We mla vumbi niaje...
Hiyo program ilianzishwa 1994 kipindi cha Mwinyi, Mkapa akaanza kuimplement, JK na baadae JM. Nini ambacho hujaelewa hapo?
Kila kitu jiwe, kila kitu jiwe kumbe anafuata yaliyopangwa tangia kipindi hiko
 
Wewe ni mla vumbi?

hahahahahaha, kwani chief Ulaya ilijengwa na babu zetu wamakonde? au babu zao wazungu?..

Au nao wameenda kusainisha mikataba ya kilaghai kama akina Karl Peters na Von bismack.

Waje tujenge nchi, Africa nayo iwe kama ulaya na wajukuu zetu waende tu ulaya kama watalii nao wazungu waje kubeba box huku kigurunyembe na kuogesha mababu zetu waliopiga kazi yakutukuka..
 
Daah si utani
Nimewaona washkaji kibao wa JF humo ndani lakini siwezi kuweka jina kwenye sura
Sio Mchezo
Magu Oyee
Dar es Salaam, Tanzania
2020 Documentary usafiri wa Mwendokasi DSM

Hali halisi na maoni ya abiria wanaotumia usafiri wa mfumo wa mwendokasi BRT


Ripoti hii inazingatia adha halisi na changamoto za usafiri wa umma unaotumia mabasi ya mradi wa BRT Tanzania jijini Dar es Salaam.
Source : ITV Tanzania
 
Waambie warudi waje kupiga kura wampigie.

Halafu waambie wanabebaje boksi ulaya wakati huku Magufuli kafanya kila kitu shwari, kwa nini wasirudi kuja kupiga kazi nyingi za kueleweka kuliko kushika shika vikongwe na kuwaosha makalio.

Kabisa aisee ,wamekimbia kuishi TZ kwasababu maisha magumu ,wanasema kwamba karekebisha uchumi basi warudi waje kupiga kazi kwenye uchumi wa kati , utakuta jitu kama Chris Lukosi limeenda kulowea UK na kukimbia umasikini wa huku limekimbia polisi limeenda kuuza mavitu chakavu UK kisha linatushawishi tumchague mtu aliyevuruga uchumi.
 
waambie bongo kama New York na nizaidi ya copenhagen kazi njenje na malipo kwa $..

viwanda kila kona..Boieng,Huawei,Toyota na makampuni yote yamefungua Plants bongo

elimu bure hadi chuo,wanafunzi wanalipwa posho za kutosha...zaidi tumekuwa donors kantri
 
Back
Top Bottom