Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

Tatizo ni angeleta hii post kama ni vichekesho, sio kuwapaka maisha yao wanavyoishi....

maana kwa swaga hizi, ni za miaka ya 90....
Kwa leo kuona mtu anafanya vitu kama hivi, halafu wote wanaaonekana ni watu wazima,
Kwangu hii ni komedy saaafii..
 
Kitambo sana miaka ya 90 kuna baharia mmoja (jina kapuni)alirudi bongo basi pale kitaani alikuwa anajifanya bab k,sasa sisi ndiyo tulikuwa kama watu wake wapambe hv
Enz hz dogo janja,sasa kuna siku akatupa camera twende tukapige picha sehemu za uswaz kama kino shamba,mwananyama kisiwani,msisiri kulee ili aone watu wanaishiji
Mjing alikuwa anaweza toka nje na chupi
ila kama unavyojua maisha tena hko nje alibugi nn sjui akarudi bongo alipigika sana,mpaka sasa kimyaaaa tuli

Ila hii video nmeishia kucheka tu

Ova
Yupo bado bongo au alishasepa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom