Wabeba maboksi wa Ulaya wakijishaua wakati kwao Afrika wamesahau hata kujenga banda la makuti. Loohh! majangaaa hayo

Hahaa anasema wanaishi..mwendo wa mateka
Kitambo sana miaka ya 90 kuna baharia mmoja (jina kapuni)alirudi bongo basi pale kitaani alikuwa anajifanya bab k,sasa sisi ndiyo tulikuwa kama watu wake wapambe hv
Enz hz dogo janja,sasa kuna siku akatupa camera twende tukapige picha sehemu za uswaz kama kino shamba,mwananyama kisiwani,msisiri kulee ili aone watu wanaishiji
Mjing alikuwa anaweza toka nje na chupi
ila kama unavyojua maisha tena hko nje alibugi nn sjui akarudi bongo alipigika sana,mpaka sasa kimyaaaa tuli

Ila hii video nmeishia kucheka tu

Ova
 
Nimecheka sana pia. Ulimbuken kupiga video chooni na vipodoz kwenye sinki ulimbuken tu. Ila pia wabongo wanasababisha haya umbea mwingi na maneno yao sumu had masela wanaamua kupiga video za ajabu nakuzituma kukomoa.
 
Maisha ni kuchagua,kila mtu anaishi maisha aliyoyachagua,acha kuteseka jomba kwa maisha ya watu wengine,

Maisha ni popote,maisha ni kuridhika na maisha uliyoamua kuyaishi,life is very short,enjoy ur life,tunabeba box na tunakula maisha,Life's Good.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom