Wabara wacheni kiherehere ,Muungano ukifariki ,ipo kazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabara wacheni kiherehere ,Muungano ukifariki ,ipo kazi.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jun 10, 2012.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kusema kweli baadhi ya wanasiasa wamekuwa wakipotosha ukweli na kujaribu kuwadanganya wale wasikuwa na elimu ya uelewa.

  Kuna watu wanaosema Muungano ukivunjika basi waZenji au WaZanzibari nao wafungishwe virago na kurudi kwao ,hivi watu hawa wanaieleawa Zanzibar ni ipi ? Wanaijua mipaka ya Zanzibar kabla ya wao kuzaliwa ?

  Mmasai hawezi kuwa ni mZanzibari lakini Mbongo ,Mtanga ,waPwani au kule Mtwala hawa wote ni watu wa Zanzibar au tatizo hamuelimishwi mnaachwa kama mlivyo mkiaminishwa kuwa WaZanzibari ni watu wa Unguja na Pemba.

  Tatizo ni la wale wahamiaji wanaotoka mikoani ambao asili zao ni kutoka Zaire na kuhamia mikoa ya pwani halafu wao kujifanya ndio wenyeji na wenye uchungu na hii iitwayo Tanganyika ,watu hawa hawana kabisa ule uasili wa wao kuwa ni waTanganyika kwani ukifuata ujio wao wanakuwa ni wahamiaji ,waliokutwa na biashara ya utumwa.Aidha waliachwa kwenye mataa na wenzao kupelekwa uarabuni uhindini na amerika.

  Hivyo mnaposema Muungano ukivunjika Wazenji warudi kwao basi wekeni akili zenu timamu.

  [​IMG]
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  yani we ni kiazi full, unatukana watu kwa hoja za kipuuzi,
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  yaani Mwiba amerudi humu jamvini ..... usitegemee cha maana kwake huyu ..... maji taka tuu
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nilitaka kumwambia the same.......shukrani kwa kunisaidia.......
   
 5. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  1. Ashakum si matusi ila maneno yenyewe.......Rai hii peleka kwenu huko mnakowasha utambi ilhali hamjui mpasuko wa bomu utakuwa na impact kwa circumference ipi!!!!!!
  2. Huku Tanganyika suala la origin ya mtu sisi haitusumbui asilan abadaan maadam ni mbantu na mzaliwa au ame acquire uraia kihalali noooooo doubt...nooooo problem......usitupangie nini la kufanya na Tanganyika yetu.....mkapange huko msikoutaka huu makwenu....mchambuane kisha mtajipanga upya

  Eti unataka kuleta historia hapa....tunaijua na tulishaikubali ndo maana sisi Watanganyika tunasonga mbele bila kujali hiyo factor....kazi kwenu huko mnakoendekeza historia

  Take home assignment kwako;Circle the best answer please....to let the bygones....or this time you go for good!!!!!!
   
 6. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Una maanisha watu ambao asili yao sio ya pwani ndio wazaire tehe ngoja waje wenyewe mimi napita
   
 7. p

  primestar Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu kama nyie ndio mnasababisha nchi yetu isiendelee sababu ya akili zenu zilizodumaa, nani alieweka hiyo mipaka???!! bado unatawaliwa na sultan?? kumbe bado mpo watu wenye akili za kitumwa mpaka leo..
  remember whatever happen, the people concerned will be the one to make decisions as to which side they belong
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama lengo la wazanzibar ni kuvunja muungano ili wayachukue na maeneo yote ya mwambao wa Tz na Kenya, hawatafanikiwa kamwe na wataendelea kutawaliwa na Tanganyika hadi kisiwa chao kitakapomezwa na bahari miaka 200 ijayo.
   
 9. y

  yaya JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, sasa hapo ndiyo unataka kuzungumzia nini hasa?
  Maana mada yako na picha au sijui niite ramani uliyoiweka wala haina uhusiano na mada yako.

  Aidha katika hiyo picha yako hakuna kisiwa kinachoitwa Unguja, sasa sijui utasemaje?

  Isitoshe mkuu, yaonekana historia uliikimbia skuli japo si somo gumu, ni sawa na kutamba hadithi uliyosimuliwa na kutoa tafakuri.
  Ninasema hivyo kwa sababu umeshindwa kutafsiri hizo njia za biashara na za watumwa enzi hizo, ukafikiri Tanganyika lilikuwa ni pori kubwa lisilokuwa na wakaazi isipokuwa wanyama!

  Pole sana.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,335
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  mnanichosha na hilo li stori lenu lisilo na mashiko muungano
   
 11. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Mleta hoja hii anaonekana ni mtu anaeishi bara lakini ni mzenji ndio maana anaomba huruma ya kubaki tanganyika pindi.muungano utakapo vunjika.hoja ya kuvunja muungano ni ya wazenji.sasa kama muungano ukivunjika wazenji wanabaki kufanya nini tanganyika?.wakati wazenji hawawataki wa tanganyika kwao wanawachomea hata makanisa yao.kwamba watanganyika wanahuruma sana pengine hata kuliko mungu mpaka wawarusuhusu wazenji kuendelea kuishi tanganyika?.kwanza wazenji wamefanya kosa kubwa sana wanapodai zenji yao ili takiwa wawahamishe wazenji wote wanaoishi bara ili wakadai zenji yao vizuri wakiwapamoja.wafanyekama taifa moja linapokosana na taifa lingine si huwa wanawarudisha mabalozi wao.
   
 12. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ngoja nicheke kiganda kwanza.He he heiy! Nyie nyau mbona hamtulì kila siku nyaunyau.Mjiondoe kwenye muungano bas
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,841
  Trophy Points: 280
  huku kwetu hatuna haja ya kujua wewe ni wa wapi ispokua kila anayezungumza kiswahili huyo ni ndugu yetu..
  hii hoja ya kuleta mipaka ya 1886 wakati tuko 2012 ni uozo wa akili kwani league of nations ilipoundwa tayari tanganyika ilijulikana na mipaka yake ndo hii ya saa hizi.. poleni sana "NDOA NI NGUMU ILA KAZENI BUTI TANGANYIKA TUNAJUA KUOA TU KUACHA HATUJUI"
   
 14. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,500
  Likes Received: 5,982
  Trophy Points: 280
  kumbe hadi mombasa mnaitaka? Mwiba naomba uweke ramani ya 1961
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Very fun......... mnatafuta excuse ya kutaka kuendelea kubaki bara mikoa ya pwani?
  Kama mmechoka muungano peteleeni zenu visiwani kwenu ebooooo
   
 16. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi una akili timamu? samahani kwa swali hili
   
 17. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145

  Sasa ni kabla ya Hapo kama Unajua Historia hiyo Sultani alipewa baada ya BERLIN CONFERENCE 1886 na Unajua Bagamoyo yalikuwa ndio Makao Makuu ya Mjerumani.

  Kabla ya Hapo Sultani alikuwa hana hiyo Pwani alikuwa tu anaendesha Biashara ya Utumwa, Mreno Biashara ya Meno ya Tembo n.k lakni Mjerumani ndiye aliyekuwa ana Madaraka Maeneo Mengi ya Tanganyika.

  Sultani wa Zanzibar aligawiwa Pwani ili aache hiyo biashara yake ya kishenzi ya WATUMWA, alikuwa anatesa sana Waafrika.

  Na hayo Waliyafanya kugawiana kwenye Karatasi. Sisi weusi ndio tuliokuwa tunachorwa kama ng'ombe sasa kama wewe ndie unayefurahia Sultani akutawale sawa

  Unajiona Uko Karibu na Sultani kwasababu alikupa DINI, na kukufanya USAHAU KABILA LAKO hivyo haujui MILA NA DESTURI ZA KIAFRIKA, Sasa unaufurahia UARABU.
   
 18. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,954
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  katiba mpya ya Zenj unaipinga? JWTZ hawana kazi, kwenye vita general Shimbo ndo anakula, mabomu hayana kazi huku! Anza harakati tu! Good luck!
   
 19. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,580
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Mwiba, hiyo ramani ya mkoloni umeisoma legend vyema ama ni utumwa wa akili?Naona umepotea kiaina na haya majitaka yako.

  Kwenye kijani,ni himaya za sultanate na siyo kwamba ni himaya za Zanzibar.Kwa kifupi Zanzibar ambayo ndipo makao makuu ya utawala wa sultan nayo ilikuwa himaya ya sultan kama zilivyokuwa Bagamoyo,Malindi,Pwani,Dar etc.

  Kama wenye nia ya kujitenga mnafikiria kuirudisha hiyo mipaka mtakuwa mnaota ndoto ya mchana kweupee!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyu mleta mada mara ya mwisho nimemkuta akipewa ruhusa pale milembe hospital ya vichaa hivi ameshapona? Au karudishwa wodini maana mada yake inaonyesha bado yuko milembe sijui wenzangu mwasemaje 1800 kwa 2012???????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Sielewi kabisa
   
Loading...