Wabara kuorodheshwa kama wageni visiwani!

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
ZANZIBAR NI KWETU: MAINLANDERS & OTHER EAST AFRICANS ARE ALL FOREIGNERS IN ZANZIBAR!

"Sambamba na hilo alisema kuwa sheria hiyo inalenga kuwapatia vitambulisho wakaazi wote waliopo Zanzibar wakiwemo wageni wote sio kutoka Bara peke yake lakini hata kutoka nje ya nchi kama vile Italy,Marekani,Ufaransa,Uingereza,Kenya,Uganda,Ghana, hivyo sheria ina nia nzuri na kuwaomba kwa wale wenye fikra potofu au kupotoshwa kuachana na fikra hizo wajue kuwa lengo ni kuwatambua wote."

ZANZIBAR NI KWETU: WAZANZIBARI WAISHIO NJE KUTAMBULIWA RASMI!
 
Wapitishe halafu waone kama itasimama kwenye constitutional challenge! Watu wa bara ni raia wa Tanzania na Tanzania ni yote!!!
 
Wapitishe halafu waone kama itasimama kwenye constitutional challenge! Watu wa bara ni raia wa Tanzania na Tanzania ni yote!!!
Mimi naona hiyo kama haina shida labda kama wewe ni Magamba maana magamba wanakomalia muungano ambao sisi wenyewe hatuutaki...Na hawa mbuzi mawe wa zenji waombee M4C isiingie madarakani manaake kabla raisi hajaapishwa tunavunja kwanza muungano maana zanzibar ni mke mvivu mchafu mkorofi hajui mapenzi wala kupendwa bora arudi kwa baba yake Omani mimi nimemshindwa ugomvi wake anachoma mpaka nyumba ya mungu!!Sitaki laana mimi aende hukohuko kwenye mapenzi ya kiarabu
 
Mimi nimeikubali kua wabara watambulike kama wageni kwani hiyo sheria ipo tokea uhai wa karume na nyerere mwenyewe anajua kila kituu
 
Kwakweli sijui tunaubembelezea nini huu muungano wenye manung'uniko kibao toka kwawananchi wapande zote!Tulianza kujadili katiba mpya tukaambiwa marufuku kujadili swala lamuungano-sijui niuoga au wanaelewa mjadala wamuungano matokeo yake niyapi ndio maana wanauogopa kuujadili?Tunawezaje kujadili katiba tuache muungano?Inamaana si swala lakikatiba?Kwahi naamini muungano siswala la Watanganyika na wanzanzibari nilawatu fulani kwafaida yao!
 
Kijana, ww jipapatue, tukandamize tuite wake zenu, vyovyote vile mnavosema. Lakini ss wa znz hatutaki kutawaliwa na mkoloni mweusi (mtanganyika) boro tutawaliwe na mkoloni mweupe (muarabu) kuliko nyinyi wakoloni weusi msojua hata kula na kipofu
TUACHIWE TUPUMUWEEEE
 
Mimi naona hiyo kama haina shida labda kama wewe ni Magamba maana magamba wanakomalia muungano ambao sisi wenyewe hatuutaki...Na hawa mbuzi mawe wa zenji waombee M4C isiingie madarakani manaake kabla raisi hajaapishwa tunavunja kwanza muungano maana zanzibar ni mke mvivu mchafu mkorofi hajui mapenzi wala kupendwa bora arudi kwa baba yake Omani mimi nimemshindwa ugomvi wake anachoma mpaka nyumba ya mungu!!Sitaki laana mimi aende hukohuko kwenye mapenzi ya kiarabu

Gwakisa... mbona bara nako makanisa yamechomwa? unajua sababu ya kuchomwa makanisa huku bara na visiwani? Ni sababu ya maneno na matendo ya watu kama wewe!!
 
na hawa wazanzibari wanaoishi huku bara watatambulikaje?wageni au? imani yenu ni janga la dunia maana mnajilazimisha kusimama wakati hamjatambaa schlechte offenen Geist
 
Gwakisa... mbona bara nako makanisa yamechomwa? unajua sababu ya kuchomwa makanisa huku bara na visiwani? Ni sababu ya maneno na matendo ya watu kama wewe!!
Maelezo ya kijinga sijapata kuona. Unadhani kuchoma kanisa ni ufahari? Ona mlivyo jidharaulisha, viongozi wa hayo makanisa wametoa tamko la kulalamikia kitendo hicho na kuhitimisha KUTANGAZA MSAMAHA.
Hamjiulizi tuu kuwa hawa ni jamaa wa namna gani wasioweka visasi?
 
Hivi moslems ol over the world wana tatizo gani hasa?? Hawakai chini wakajiuliza walikosea wapi?? They r so sturbon, arrrggghhhhh!! Na wao ndio wanarudisha nyuma maendeleo duniani, nonsense!!!
 
zanzibar ni kwetu: Mainlanders & other east africans are all foreigners in zanzibar!

"sambamba na hilo alisema kuwa sheria hiyo inalenga kuwapatia vitambulisho wakaazi wote waliopo zanzibar wakiwemo wageni wote sio kutoka bara peke yake lakini hata kutoka nje ya nchi kama vile italy,marekani,ufaransa,uingereza,kenya,uganda,ghana, hivyo sheria ina nia nzuri na kuwaomba kwa wale wenye fikra potofu au kupotoshwa kuachana na fikra hizo wajue kuwa lengo ni kuwatambua wote."

zanzibar ni kwetu: Wazanzibari waishio nje kutambuliwa rasmi!
.....hakika ni jambo zuri...na ni somo zuri kwa bara (tanzania/tanganyika)..lkn nani anatetea maslahi ya "yatima" tanganyika ktk mfumo huu wa muungano? Tumeshapigwa bao...bakhresa na wazanzibar wengine tayari wanamiliki ardhi na nyumba bara wanawezaje kuwekwa ktk kapu moja na wakenya warundi, waganda na warwanda? Nyumba za serikali (za bara) ambazo ziliuzwa kwa maofisa wa serikali wa asili ya zanzibar....? Ardhi ya bara inayomilikiwa na wenye asili ya zanzibar...?....hapa ni wakati wa kusimama juu ya tofauti zetu za kisiasa na zingine zote...tusikubali upuuzi wa ati baniani mbaya kilemba chake dawa...muungano mbaya lkn sheria zake zinazowapa wa visiwani haki kwa sababu ni watanzania, na huku wabara wakinyimwa baadhi ya haki sababu si wazanzibar...zitazamwe upya...! Na yale wanayolalamikia wazanzibar pia yatazamwe.....!
 
mimi nimeikubali kua wabara watambulike kama wageni kwani hiyo sheria ipo tokea uhai wa karume na nyerere mwenyewe anajua kila kituu

masaburi @ work mbona wazenji walioko bara hawabaguliwi kwa namna yeyote.
 
kijana, ww jipapatue, tukandamize tuite wake zenu, vyovyote vile mnavosema. Lakini ss wa znz hatutaki kutawaliwa na mkoloni mweusi (mtanganyika) boro tutawaliwe na mkoloni mweupe (muarabu) kuliko nyinyi wakoloni weusi msojua hata kula na kipofu
tuachiwe tupumuweeee

ama kweli mdebwedo ni mdebwedo tu kwa taarifa yako muungano ukivunjika wabara ndio watakaopumua na sio wewe mla urojo
 
Back
Top Bottom