Wabadirifu ofisi za umma kukiona cha moto kuanzia 2017.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,300
15,018
Kama uliwahi kuiba, miaka ya nyuma na bado Uko ofisini Basi kiama kinakuja uchunguzi kabambe kufanyika na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wezi wote.
 
Kama uliwahi kuiba, miaka ya nyuma na bado Uko ofisini Basi kiama kinakuja uchunguzi kabambe kufanyika na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wezi wote.
kuna waalimu wengi tu walikuwa na vyeti feki aisee wameacha kazi wenyewe na hawaendi hata kudai mafao.sasaivi ni wajasiriamali mtaani.
 
Hivi vipisi vya habari nani anavileta hapa jamani, lengo lenu mtuharibie sikukuu zetu na maisha yenyewe haya mafupi. Mimi nimeiba kuanzia RTC, nikaja KAUMA, nikaja KCU na baada ya hapo nikachukua vijisenti kidogo nikanunua Kofia na tisheti za wapiga kuta, nikanunua ubunge...sorry nikapigiwa kura nikawa mbunge, sasa hivi nakula za kamati ya.....na mfuko wa jimbo! Nani atanigusa sasa! Kamateni hao wakurugenzi wa dawasco sijuhi ewura,nk
 
kuna waalimu wengi tu walikuwa na vyeti feki aisee wameacha kazi wenyewe na hawaendi hata kudai mafao.sasaivi ni wajasiriamali mtaani.
Mkuu kiyama chao kimefika walimu feki wote watakamatwa.
 
Kama uliwahi kuiba, miaka ya nyuma na bado Uko ofisini Basi kiama kinakuja uchunguzi kabambe kufanyika na kuwafikisha kwenye mkono wa sheria wezi wote.
Itagusa IPTL, escrow et al, kutaja chache tu?
 
Hakuna kitu perepeche mingi tu season II Loading......
Eti mahakama ya mafisadi imekosa kesi wakati kesi hazi hesabiki yoka awamu ya Kwanza Haya JK Nyerere hadi ya Tano kesi zipo zisizo na idadi...hakuna jipya....oooiiii
 
Kura za Lowasa huwa haziibiwi hata moja.

Tunachukua nchi asubuhi. ----In nyumbu's voice
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom