Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho wachezea kichapo cha 4-0 kwa AS Vita ya DR CONGO

Mbona hamkumbuki yaliyowakuta mwaka huu huko Algers Algeria?Au ndio ugonjwa wa selecting memory?
Kufungwa tena nyumbani na vibonde Township Rollers ni aibu kubwa tena 2018.Kutokumbuka ya mwaka 2018 ni maajabu.
Inferiority complex inawasumbua.
 
Hivi Yanga kumfunga Simba mara ya mwisho ni mwaka gani?Memory Memory.
 
As Vita siyo wababe wa Simba tena! Kachezea kichapo 1-0, kama alivyochezea kichapo mwenzake TP Mazembe!!
Simba inaheshimika DRC Congo usipime!! Usikariri mambo ya 1948! hii ni 2021!!
 
Back
Top Bottom