Wababa/kaka hivi ni kweli

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,436
2,000
Teh teh teh teh.....utapiga mkwara wako ila mi nafanya kazi baadaya mda hiyo sauti kavu inabadilika kuwa ya kubembeleza na hatimaye unalia machozi kwa utamu

malijaliii utawajua tuuu!!!!!! aaaaaaiiiiiiiiiii teh teh teh
 
Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,464
1,250
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee

Huyo jamaa yako wala huo mkwara haukuwa tatizo sana. Tatizo kubwa hapo ni kwamba umeshasema kwamba yeye kiwembe. Sasa kwa kuwa aliitwa ghafla na huyo dada, inawezekana kabisa akawa amechakachua sana jana yake na hivyo hakuna na nguvu za kutosha kumfikisha huyo dada! Ila kama angekuwa na nguvu za kutosha ligwaride huyo dada lazima lingemshinda tu na huo mkwara wake wa sauti kavu, ungegeuka kuwa sauti laini ya mahaba! Take my words!
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Ni kweli unaweza ukashindwa kupiga mechi kabisa coz hilo ni jambo la kisaikolojia,ila inatokea kwa wanaume wasiojiamini,kwani hujawahi kuona jamaa ana mwili kama ghorofa ya kilimanjaro kempiski halafu anatishwa na kajamaa kadogo kama punje ya unga wa ngano!Kauli ina nguvu yake kama haujiamini,ila ukijiamini pamoja na mkwara wake unapiga game mpaka anakimbia na kufuli mkononi!!
 
wilbald

JF-Expert Member
Dec 17, 2007
1,804
2,000
Labda jamaa alikuwa keshakula wengine ka wawili hivi siyo bure.manake kama jamaa ni kiwembe basi hakuwa na bahati na huyo binti.
Huyu binti anatakiwa akutane na kijana mwenye ukame...aangalie kama.....kesho yake ataenda kazini.
 
peck

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
220
195
We nawe mbona hivyo? mwenzio nilitaka kucopy na kupest huu ufundi kumbe kuna wengine hamtishiki hata kwa nini lol, hakyanani

usijaribu kukopi da maty. unaweza ukaanza na bit halafu aamini nawewe uko fit akuweka kwa kundi la mafundi ukaja kimbia lol
 
Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,319
2,000
nakuunga mkono jamaa kwanza kazoe kubembelezwa sasa kakutana na mkwara,isitoshe hicho kitisho hakiwez kufanya kazi kama mtu unaUKAME wa miez 6.mbona sisi kwetu wakat wa kufanya mambo bint anakwambia 'fanya ukimaliza nifunike' unafanya mambo ukimaliza unamfunika unaondoka zako.
 
Ngoswe11

Member
Nov 19, 2010
87
0
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee

Mhmhm mkuu heshima yako, Uzi naona umetulia sana lakini hebu fafanua huko nyuma ya pazia(huyo mdada), ina maana huyo dada ana kimzizi cha kuzingua wanaume wanaomfuatilia au ilitokea tu kwa mshikaji siku hiyo? maana huenda ikawa kuna namna ya mizinguo fulani hivi.

Nakupa mfano, kuna baadhi ya wanawake walioolewa waume zao huwa wanawatega ki-madawa ili tu wasiweze ku-do au kumfanya jamaa/men Jogoo ashindwe kuwika pale anapotaka kutoa the needful kwa mdada/mwanamke ambaye ni mke wake!

Hilo ulilotoa ni funzo tosha naamini tutajipanga vema hata kama demu akipigwa mikwara tuione ya kawaida, but please tuwekeee secrete behind huyo mdada kufanya hivyo! ni kimzizi anatumia au baada ya kula vya watu ili asilipe the needful au??

Asante, nawasilisha!
 
Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,040
1,500
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee

Duh ujue matty acha ukipigwa mkwara jogoo lazima awe mtima...we unaambiwa ukishindwa utakoma....kisaikology tayari dosari lipo....
 
Ila usikosee ukaenda kule kwetu kule...mtu anakula tu bata hata ukipiga mkwara, tena ukipiga mkwara ndo kwanza naanza kujiandaa kukutana na timbwili sasa hapo kitachotokea sijui....
 
Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
327
225
aaaaiiiiiiiiiiii!!! makakaa ganii huyoo?? aogopa hali mdada kajianika na vifaaa vyooooteeee njeee aaaiiiiii!!!!! hawezi tu kaziiiii au mdadaaa auziii akichojoaaa!!!!!! sijashawishika!!!
uko sawa (according 2u'r sex), ila mi nnauhakika ungeshawishka2 kama ungekuwa mwanaume.
 
Dr.Chichi

JF-Expert Member
Apr 30, 2008
2,396
1,250
Kila siku nawaambia wakinadada hiyo ndo njia ya kuepuka kubakwa.ukiona umebanwa kwenye kona vua mwenyewe jilaze chini mwambie anze kazi uone atakavyosepa fasta
 
LD

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
3,015
2,000
Maty ulichokutana nacho weekend iliyopita, naombea usikutane nacho weekend hii. Umechenichekesha hadi basi. Dah nitaiga hii ila baada ya huyo mtu kumalizia haka kakibanda kangu hapa!
 
joellincoln

Senior Member
Mar 20, 2009
162
195
Huyo alikuwa sharobaro, hakuna cha mkwara wala nini huyo dada naye hajakutana na makamanda ambao hawatishiwi nyau! Anitafute aone midundo ya remix ya value, nyagi na redbull kudadadeki lazima ajute kutoa mzigo!:bange:
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Ha ha ha, maty wewee dooohhh!
Ama kweli maishani tunapitia mengi.
Msiniulize.
Hahhhh Mbu asa mbona watunyima uhondo?? tusikuulize kwa nini? Mi nanyoosha mkono naomba kuuliza...

Matty hahahaah wewe ulikopindia unakujua mwenyewe duh.....ila kusema kweli huyo dada alicheza na pyschology ya kaka- hakuna na nia naye.......... duh yaani ni kama vile uambiwe na afande wa kike, shughulika na ukishindwa utantambua........asa hiyo kunitambua hujui ana maanisha nini; kukutia ndani au kukuitia mabaunsa wakushughulikie, akili inagawanyika na ubongo unashindwa kupata meseji ipazavyo loh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom