Waasi watatu wa ADF wanaodaiwa kuwa raia wa Tanzania wakamatwa Congo

ADF wanachukua vijana toka Afrika yote ya kati na magharibi ili kuwatumia Kongo kuchimba na kulinda migodi ya madini. Uwepo wao kule hauna mahusiano ya moja kwa moja na mambo yanayoendelea Tanzania yawe ya kisiasa,kiuchumi,kidini na wala kijamii. Tanzania kuna mawakala wa kuwachukua vijana kinyemela na kupelekwa huko nje ya nchi kufanyishwa kazi zisizo na baraka za ulimwengu
Katika jeshi la Kabila(Baba) lililo kwenda kumg'oa Mobutu, palikuwa na wastaafu wengi tu kutoka Tanzania.
 
Back
Top Bottom