Waasi wa Kihouthi nchini Yemen washambulia gwaride la Kijeshi na kuua watu zaidi ya 50

Waarabu wajinga sana yani wanauwana wao kwa wao alafu wanataka kupeleka mauaji nchi zingine. Huu kwao ndio uislam safi.
Unajua kuropoka kijana.
Hiyo yemeni imeharibiwa na mabwana zako wazungu kisa kutafuta geopolitical interest.
Syria hvyo hvyo.
Basi hata huruma hawana wakataka kumpindua hadi Erdogan wa Turkey.
Asa nani ni war monger between Arabs and Imperialists ????
Na Hillary Clinton wako hata aibu hana limenena waziwazi eti we created the problems of terrorism on which we are facing now.
Yanayofanyika na hao watu hayahusiani na uislam kwahiyo acha kuropoka upo na watu tunaojielewa humu ndani.
 
Back
Top Bottom