Waarabu,Wahindi,Wapemba,Wachaga wana siri gani katika biashara?

Inawezekana mkuu

Naomba difference between firm vs industry vs company.

Based on mifano ya hao jamaa niliokutajia hapo juu mkuu.
Industry is the group of firms....kwa mfano kuna bia kama kilimanjaro,balimi safari lager, castle lager, hizo zote ni firms..na inapokuja kiwanda ndo unakuta TBL (combine all mentioned above firms)... na ukija kwenye suala la kampuni huko umekuja kwenye forms of business...ambapo tunaanza na Sole proprietor,Partnership then a Company...kama ntakuwa nimekosea watakuja wajuzi zaidi..lakini hivyo ndo nnavojua
 
Mkuu na wewe hapo kwny firms umepachanganya tena kiaina,anyway nime enjoy mjadala huu.
 
Wote hawa hufanya biashara ugenini ambapo hakuna longolongo za ndugu.
Pili ni uvumilivu na umakini. Mtaji wa kutosha pia ni lazima na hawana imani za chiuma ulete.
 
Mchaga mtaji wa kutosha sio inshu sana kwake,ye anajua kubembeleza kamtaji mdogo mdogo mpk anatoboa huku unaona hivi hivu.
 
Back
Top Bottom