Waangalie hawa marafiki wanatia huruma

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
rais%2Bna%2BKikwete%2Bna%2BHosn%2BMubarak.JPG
 
They share a common interest and that is KUCHAKACHUA! Inawezekana pia walikuwa wanapeana uzoefu jinsi kila mmoja wao anavyomshirikisha mwanae kwa nguvu katika siasa za nchi ili kulinda maslahi yake binafsi.
 
Kweli kabisa Mubarak alikuwa anamuandaa Gamal huku Kikwete akimwandaa Ridhwani imekula kwao ndoto zinaeyuka.
 
halafu jk sijui yukoje..........hako ka mkoba pembeni hapo kwa nini asimpe mpambe akashikilia.......hapo kamejaa madesa kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom