rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,363
- 22,518
Zamani ilifahamika kabisa ili uwe mwanahabari,mwanasheria,mhasibu,daktari,pilot kuna aina ya masomo ambayo itabidi usome na kuyafaulu.Pia kulikuwa na vyuo ingawa vilikuwa vichache lakini vilikuwa vinahakikisha vinapokea wanafunzi waliofikia ufaulu unaostahili.
Baada ta elimu yetu kugeuka biashara kumetokea vyuo vingi ambavyo vimekuwa vikitoa wanataaluma wengi ambao uwezo wao unatia shaka.
Juzi asubuhi nilikuwa nasikiliza uchambuzi wa Clouds Tv wa michezo ya Euro inayoendelea, Mchambuzi mmoja bila aibu akasema Albania ni nchi iliyotokana na Ugoslavia iliyogawanyika.
wote tunajua Abania ilikuwepo kabla ya Ugoslavia haijagawanyika na kuzaa nchi nyingine kama Bosnia na nyinginezo cha ajabu hata wenzake aliokuwa nao hawakuona tatizo lolote na kushindwa kumkosoa.
Huu ni upotoshaji ambao umekuwa ukiendelea kufanywa na vyombo vyetu vya habari bila kupigiwa kelel