Rais wao najua alisoma chemistry , lakini mwandishi jambo analotakiwa kujua ni lugha mbalimbali kama mpishi anavyo jua viuongo mbalimbali kwa mapishi
Mi sijui ila ugali ambao hauja iva naujua.
Si wanasema wanaajili vipaji siyo elimu🚶🚶Mwandishi yeyote wa habari jambo kubwa analo takiwa kulijua ni lugha na sio moja.
Sasa Tanzania kuna tatizo gani kwa waandishi wengi wa habari kuto jua kingereza?
Alikuja Rais Obama, wakashindwa kuuliza maswali kwa sababu ya ung'eng'e.
Tumeona pia baadhi ya wageni wakija waandishi wa habari wananikanyaga balaa utadhani wote waliishia darasa la pili?
Tatizo wapi? Mfumo wa elimu au nini?
Wizara ya habari na vyuo hili linawahusu.
View attachment 1719399
Dawa ya deni haijawahi kuwa kiingereza, bali ni kulipa.
Hivi wewe unafikiri kiingereza ndiyo kila kitu? Sijui tatizo la akili za kitumwa litawatoka lini.
Dr. Mwamyembe alikuja suluhisho mkamjia juu. Alitaka kila mwandishi awe na Degree.
Leo hii ukienda chuo chaa habari unataka kujiunga kasome matangazo yao ndio utajua tatizo linaanzia wapi
"Tunatangaza nafasi ya kozi ya uandishi wa habari ngazi ya cheti. Kozi ya miezi mitatu/sita
Sifa. Uwe umefaulu kidato cha nne angalau kwa D moja.. Ukimaliza kozi tunakutafutia na ajira"
Asee...
Kabla ya kukomenti nimejaribu kupitia baadhi ya waliotangulia wameandika nini, kwa kifupi nimeona lawama na dharau kwa wanahabari wetu.
Ni kweli kuna ombwe la lugha ya kizungu kwa wanahabari hilo siyo la kuuma uma maneno au kusingizia taaluma imekaa kichwani hakuna haja ya lugha.
Asilimia flani ya waandishi wana tatizo kubwa la lugha kama mtoa mada anavyosema na hili ni pale inapotokea kufanya mahojiano, unaweza usione mwandishi au akawepo mmoja.
Hoja ya wale wanaoongelea taaluma nyingine kwa mada hii siyo sahihi hapa ni waandishi na swali nini kifanyike?.
Kiswahili ndio lugha ya taifaMwandishi yeyote wa habari jambo kubwa analo takiwa kulijua ni lugha na sio moja.
Sasa Tanzania kuna tatizo gani kwa waandishi wengi wa habari kuto jua kingereza?
Alikuja Rais Obama, wakashindwa kuuliza maswali kwa sababu ya ung'eng'e.
Tumeona pia baadhi ya wageni wakija waandishi wa habari wananikanyaga balaa utadhani wote waliishia darasa la pili?
Tatizo wapi? Mfumo wa elimu au nini?
Wizara ya habari na vyuo hili linawahusu.
View attachment 1719399