Waandishi wawili wa Reuters wajeruhiwa, dereva wao auawa Ukraine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Waandishi wawili wa habari wa Reuters wamejeruhiwa huku dereva wao akiuawa baada ya gari walilokuwa wakilitumia kushambuliwa Mashariki mwa Ukraine katika Jiji la Sievierodonetsk

Tukio hilo ni mwendelezo wa maumivu wanayopata waandishi wa habari katika vita ya taifa hilo dhidi ya Urusi.

Waliojeruhiwa ni mpigapicha Alexander Ermochenko na mrekodi video Pavel Klimov walikuwa wakitumia usafiri uliotolewa na Urusi.

Jina la dreva ambaye alipewa kazi hiyo na Reuters halijatambulika, Urusi haijasema chochote kuhusu shambulizi hilo.

Source: VOA News

Name OrganizationDateLocationType of Death
Brent RenaudTimeMarch 13, 2022UkraineCrossfire
Frédéric Leclerc-ImhoffBFMTVMay 30, 2022UkraineCrossfire
Ihor HudenkoFebruary 26, 2022UkraineDangerous Assignment
Maks LevinMarch 13-April 1, 2022UkraineCrossfire
Mantas KvedaravičiusLate March-April 2, 2022UkraineCrossfire
Oksana BaulinaThe InsiderMarch 23, 2022UkraineCrossfire
Oleksandra KuvshynovaFox NewsMarch 14, 2022UkraineCrossfire
Pierre ZakrzewskiFox NewsMarch 14, 2022UkraineCrossfire
Yevhenii SakunLIVEMarch 1, 2022UkraineCrossfire

----------------

Two Reuters Journalists Injured, Driver Killed in Eastern Ukraine

Two Reuters journalists were injured and a driver was killed on Friday after the vehicle they were in came under fire while heading to the eastern Ukrainian city of Sievierodonetsk, the latest battle line in Russia's assault on its neighbor.

Photographer Alexander Ermochenko and cameraman Pavel Klimov were traveling in a car provided by Russia-backed forces on the Russian-held part of the road between Sievierodonetsk and the town of Rubizhne, 10 kilometers (6 miles) to the north.

Reuters could not immediately establish the identity of the driver, who had been assigned to Reuters by the separatists for the reporting trip. The Ukrainian Defense Ministry did not respond to a telephone call seeking comment on the incident.

Ermochenko and Klimov were taken to a hospital in Rubizhne where they received initial treatment, Ermochenko for a small shrapnel wound and Klimov for an arm fracture.

"Reuters extends its deepest sympathies to the family of the driver for their loss," a Reuters spokesperson said in a statement.

In recent weeks, Russia has poured its forces into the battle for Sievierodonetsk, a small factory city in the east, which Russia must capture to achieve its stated aim of holding all of Luhansk province.

Both sides have been taking punishing losses there in a street-by-street battle that could set the trajectory for a long war of attrition. Moscow describes its presence as a "special military operation" to disarm and "denazify" Ukraine.
 
wameingia Ukraine kwa kibali cha nani ? kuwa mwandishi haikufanyi uvunje taratibu za nchi nyingine , lzm ufuate taratibu kuingia nchi za wengine unless tunakuhesabu mvamiz pia na hivyo inahalalisha kifo chako
 
Na bado Kiongoz wa nchi husika baada ya kuangalia maslah mapana ya nchi yake na raia wake kwa kukubal yaishe ili ajipange upya lkn bado anakomaa kuomba silaha ili janga liendelee
Miji inajengeka, Japan 2011,Kuna region ilipgwa na Tsunami yaali hakuna kitu kilibaki, but after year kila kitu kilirudi,UK kwenye WWI na WWII Kuna maeneo ya London yalikuwa magofu but after five years, kila kitu kilijengwa
 
Hila uhai wa wananchi wake uliyopotea kwa uzembe wake hauwezi kurudi ugomvi wa kumaliza kidiplomacy anakomaa wakati mgogoro km huo ulivyotokea Cuba Russia alivyotaka kuweka makombora yake Kule ule mgogoro ulimalizwa mezani hila yy akashawishiwa akomae
 
Back
Top Bottom