Waandishi wafanya ziara ya kushtukiza kiwanda cha ZZK Mbeya na kushuhudia magofu na mitambo

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575


Baadhi ya mitambo iliyotelekezwa kwenye Kiwanda cha kutengenezea Zana za Kilimo ZZK




Mitambo ambayo ilikuwa ikitumika kutengenezea Zana za Kilimo katika kiwanda cha ZZK Iyunga jijini Mbeya ikiwa imetelekezwa




Niranjan Bandi, aliyejitambulisha kuwa ndiye
Mkurugenzi mkuu wa shughuli zinazoendelea katika kiwanda cha ZZK chini ya kampuni ya CMG akiwapa maelezo waandishi wa habari.



Waandishi wakitoka katika kiwanda cha ZZK huku wakijiuliza maswali mbali mbali kutokana na walichokikuta ndani ya kiwanda hicho
 
Magofu hayo yamekuwepo zaidi ya miaka 15 hao waandishi hawatakiwi kushangaaa

Ovaaaa
 
Agghhhh....
Nilipo soma heading nikafungua uzi faster nikijua ni kiwanda cha Zito Zuberi Kabwe
 
Kumbe bado kuna watu wanamuota ZZK!

Mnyonge anyongwe, lakini haki yake apewe aiseeee....
Zito Z Kabwe bado ni mwana siasa kijana mwenye uwezo mkubwa wa kuyajua na uchambuzi wa mambo mengi aiseeee....
Pamoja na kwamba alikutwa dhoruba kadhaa za kusadikika, lakini bado ni mwana siasa mzuri sana mwenye uwezo na uelewa mkubwa aiseeee.....
Toa makosa na udhaifu kama mwanadamu yeyote awezae kuteleza.
 
Last edited:
Back
Top Bottom