Waandishi wa vitabu mko wapi?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,342
1,010
Habari sana jamvi.
Niliposti uzi kwenye jukwaa elimu nikiomba waandishi wa vitabu wanaoandika kwa lugha ya Kiingereza katika masuala ya Historian, makabila ya Tanzania, tamaduni, mila na desturi, hadithi na mbo ka hayo lakini hakuna aliyejitokeza. Nimeamua kuja tena kwenye jukwaa hili. Nataka kutafsiri vitabu vya aina hiyo kwa Kijerumani kwa ajili ya soko la Ujerumani na Uswisi. Nimetafuta namba ya simu ya Umoja wa Waandishi w Vitabu (UWAVITA) lakini niliyopata ni ya zamani.
 
Samahani kwa makosa machache kwenye hiyo post ni kutokana na Android yangu ila nadhani nimeeleweka
 
Muone jamaa mmoja aliwahi kulalamika kuwa kadhurumiwa pesa na taasisi moja inaitwa CCM, anaitwa Erick Shigongo atakufaa sana.
 
Back
Top Bottom