Waandishi wa Vitabu kama Sedrick C. Magasi ni Janga la Kitaifa!

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Hebu ona Elimu yake:
BSc(ed) Botany, Zoology and Education, Masters of Business Administration(MBA) and certificate in Linguistics (Cert. Ling)
Hivi kweli kwa elimu hii unaweza kuandika vitabu vya Kemia? Hata kama ni ku-copy na ku-paste nadhani si sawa! Ndiyo maana vitabu vyako vya maswali na majibu ya kemia vinatufanya tufeli somo hilo, walimu wa sayansi hatuna, waandishi wa vitabu ndiyo sampuli hii, tukimbilie wapi jamani?
 
Nilimkataza dogo kutumia vitabu vya sendrick,vinaupotoshi mwingi..,yaani kama hujasoma kabisa hvyo vitabu usitumie kabisa
 
Usishangae kuona mwalimu wake anatumia vitabu hivyo! Sirikali haiwezi kuwalinda watoto wetu dhidi ya upotoshaji huu?
 
akina Nyambari Nyangwine

Moja ya Nyambari ambayo sintokuja kuisahau kamwe na iliyonifanya niachane nae kabisaaaa.
EFFECTS OF CORAL REEFS
It can habour dangerous animals such as crocodile and sharks,
Swali linakuja hapa coral reef zinatokea baharini tu (maji chumvi), crocodile anayemzungumzia Nyambari mpaka leo sijui ni yupi, maana nimavyojua mimi mamba hawezi kuishi kwenye maji chumvi....Shkamoo Nyambari
 
Hebu ona Elimu yake:
BSc(ed) Botany, Zoology and Education, Masters of Business Administration(MBA) and certificate in Linguistics (Cert. Ling)
Hivi kweli kwa elimu hii unaweza kuandika vitabu vya Kemia? Hata kama ni ku-copy na ku-paste nadhani si sawa! Ndiyo maana vitabu vyako vya maswali na majibu ya kemia vinatufanya tufeli somo hilo, walimu wa sayansi hatuna, waandishi wa vitabu ndiyo sampuli hii, tukimbilie wapi jamani?

Mbna vizuri tu ila nahisi na ww unatka uuze au kutafuta soko la matakataka yako!
Msom utasomaje kitabu kimoja ukaridhika???
Si lazma upost!
 
Hebu ona Elimu yake:
BSc(ed) Botany, Zoology and Education, Masters of Business Administration(MBA) and certificate in Linguistics (Cert. Ling)
Hivi kweli kwa elimu hii unaweza kuandika vitabu vya Kemia? Hata kama ni ku-copy na ku-paste nadhani si sawa! Ndiyo maana vitabu vyako vya maswali na majibu ya kemia vinatufanya tufeli somo hilo, walimu wa sayansi hatuna, waandishi wa vitabu ndiyo sampuli hii, tukimbilie wapi jamani?

Mmmh aandke vitabu vya Biashara hyo
 
Moja ya Nyambari ambayo sintokuja kuisahau kamwe na iliyonifanya niachane nae kabisaaaa.
EFFECTS OF CORAL REEFS
It can habour dangerous animals such as crocodile and sharks,
Swali linakuja hapa coral reef zinatokea baharini tu (maji chumvi), crocodile anayemzungumzia Nyambari mpaka leo sijui ni yupi, maana nimavyojua mimi mamba hawezi kuishi kwenye maji chumvi....Shkamoo Nyambari

Ha ha ha haa
 
Back
Top Bottom