Waandishi wa Magazeti hawana dini?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,093
103,327
Wakuu katika mapitio ya magazeti Star TV nimeshtushwa na habari zenye upotoshaji wa hali ya juu sana.Jana kule Mwanza kuna vijana ama waliofukuzwa CDM kujiunga CCM walifanya press comference kupinga maamuzi ya CC.Wanahabari wameripoti uongo wa hali ya juu kuwa ni umoja wa matawi 180 Mwanza.Hivi ni kweli hawajui haya wakati vijana wakifukuzwa wao ndio walioandika.Wengine wameandika juu ya aliyewahi kuwaKatibu wa CDM huko Chunya,na kutimulimuliwa.Wameandika uongo kana kwamba bado ni katibu.Magazeti watendeeni haki wateja wenu
 
Pesa ya ccm inafanyakazi! We unafikiri rushwa itaisha? misuse of resources!
 
Back
Top Bottom