Waandishi wa Magazeti hawana dini?

  • Thread starter OKW BOBAN SUNZU
  • Start date
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
28,743
2,000
Wakuu katika mapitio ya magazeti Star TV nimeshtushwa na habari zenye upotoshaji wa hali ya juu sana.Jana kule Mwanza kuna vijana ama waliofukuzwa CDM kujiunga CCM walifanya press comference kupinga maamuzi ya CC.Wanahabari wameripoti uongo wa hali ya juu kuwa ni umoja wa matawi 180 Mwanza.Hivi ni kweli hawajui haya wakati vijana wakifukuzwa wao ndio walioandika.Wengine wameandika juu ya aliyewahi kuwaKatibu wa CDM huko Chunya,na kutimulimuliwa.Wameandika uongo kana kwamba bado ni katibu.Magazeti watendeeni haki wateja wenu
 
Return Of Undertaker

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
4,344
2,000
Wao wanaangalia matumbo ila hawajui kuwa mda si mrefu watalipa kulinganan na matendo yao
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
18,946
2,000
MAKAMANDA tunaliamini Tanzania Daima tu!
 
J

jzm-teak

JF-Expert Member
1,628
1,195
Pesa ya ccm inafanyakazi! We unafikiri rushwa itaisha? misuse of resources!
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom