Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,276
- 17,983
Natafuta ile attachment ya paper yenyewe. Hebu ilete kama umeiona. Ile thread sioni. Soma kwenye conclusionSoma vizuri hitimisho ndugu yangu.
Kwani NIMR wao wapo kama gwaride la Jeshi siku ya Uhuru. Sheria iliyowaunda inakataza kutangaza tafiti zao ?
Ni utafiti wa kwanza NIMR kuutangaza kama sio kwa nini huu ndio umekosewa ?
Kwanini hamuweki hiyo code of conduct aliyoivunja ili kuweka wazi ukweli.
Hitimisho la utafiti liko wazi kabisa na halisemi utafiti zaidi kujua ukweli wa kuwapa watz wenye virusi vya Zika Bali kujua athari za virusi vya Zika
Tusipotoshe utafiti