Waandishi wa habari za michezo mnayajua haya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari za michezo mnayajua haya?

Discussion in 'Sports' started by semako, Nov 30, 2011.

 1. s

  semako Senior Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo la soka Tanzania na Afrika mashariki kuporomoka linatokana na TFF na SECAFA,hii inatokana na kulenga kwenye mapato zaidi kuliko kukuza mpira.Tuliona kagame timu moja ikipelekwa fainali kwa nguvu ili icheze na mtani,unajua kwa nini?mapato na si mpira:Isije ukashangaa TZ ikabebwa ili iendelee kutunisha mfuko wa TFF wakati mpira hatuna.Hivi unajua kuwa Tenga anamwogopa Wambura unajua ni kwanini?kuna jambo kubwa sana limejificha pale TFF,waandishi tafuteni data sio kila siku Simba na Yanga.
   
 2. M

  Maswalala Senior Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuwa makini na unachozungumza timu gani ilipelekwa kwa nguvu fainal kombe la kagame labda tu ungetaja mojakwa moja kuliko kufichaficha au umeandika kujifurahisha
   
Loading...