Waandishi wa habari wanapovuliwa nguo

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
247
attachment.php
 

Attachments

  • Ali Adawi.jpg
    Ali Adawi.jpg
    58.4 KB · Views: 121
Kwa mfumo huu tunaokwenda nao wa kujiongoza wenyewe hakuna tatakapofika. Yaani viongozi wakiwepo na wasipokuwepo hakuna tofauti sasa tutabadilishaje hali ya mambo?
 
habarini wana jamvi

kati ya mambo ambayo niliyatafakari ni amri kwa waandishi wa habari walioalikwa na mgeni al adawi
amri waliyopewa kwamba jamaa wasimpige picha imewadhalilisha wahusika na imetudhalilisha sisi watanzania wengine
nadhani ni kitu kilichoratibiwa na nadhani iliwezekana tu kwa sababu walikuwa wateule na pengine walipewa bahasha ili wakubaliane na matakwa hayo,jamani kama wanajulikana sio vibaya tukawajua ili habari zao na mienendo yao tuifuatilie
 
Back
Top Bottom