Elections 2010 Waandishi wa habari wa tanzania ni wanafiki

Wanaoongoza ni wa Rai na Mtanzania waliopewa kazi ya kutafuta vichwa vya habari vibaya vya Chadema kila kukicha utafikiri ndo chama pekee cha upinzani. Huo wote woga wa Rostam maskini hajui hatima yake baada ya 31/10/2010. Waandishi vikaragosi nao maskini wanapokea maelekezo kama kasuku na kudhalilisha taaluma. The prominent place in hell is awaiting for them !!
 
Kibonde nae kumbe ujanja wake ni kwenye jahaz akiwa na gadna?
Kumbe poyoyo tu,hana lolote,swali gani hlo anauliza?
Bora ukajiunge na mipasho ya akina mama. . . !
 
Wachumia tumbo, watu huwa wanadai kuwa wanayo andika wanalazimishwa na wamiliki lakini leo imethihirika kuwa ni VILAZA.
 
wale sio waandishi wa habari, ni watangazaji, ma MC wa vipaimara, na ma dj wa disco vumbi.
 
CV za hao waandishi n kama ifuatavyo
1)Suzan Mungi-Huyu yuko TBC tv ya CCM na boc wake Tido alikuwepo.
2)David Ramadhan-Huyu yupo Chanel ten tv ya Rostam Aziz
3)Masako-Yule babu wa ITV aliangushwa kura za maoni ubunge CCM
 
Eti wanadhani watapewa ukuu wa wilaya kama betty mkwassa na sarah dumba. Ebu mcheki mzee masako na kibonde walijichekeshaaa.wasalaam aleykum, eti kibonde unataka ukuu wa wilaya ya manzese utakayoundiwa na jamaa atakumpa tu. Kazana
 
Hawa nivishoka wa habari wanasali usiku kucha wsitwe kws salva na yeye sindipo alipotokea??hivyo wanatafuta pakutokea!!wanadharilisha taaluma!!Ila njaa aina bouncer!!
 
JK amewamaliza wanahabari waliokuwa wanajifanya nana weledi. He has reduced them to beggers. Si wangesingizia wanaumwa kuliko kwenda kujiaibisha kuuliza maswali ya kichinachina waliyokaririshwa?
 
JK amewamaliza wanahabari waliokuwa wanajifanya nana weledi. He has reduced them to beggers. Si wangesingizia wanaumwa kuliko kwenda kujiaibisha kuuliza maswali ya kichinachina waliyokaririshwa?
Waandishi walitulia utadhani wanajiandaa kwenda kuchinjwa.... Hivi kweli unamuaga mkeo unaenda ktk mdahalo ndo unaishia kusinzia kama li koyoyo... Wajameni nashindwa kuelewa yale maswali walipewa au? Inaonekana wote walikuwa wanaliogopa neno FISADI na hivyo kusababisha mdahalo wote ushindwe kutuliza mzuka wa Dr Slaa na hivyo kumuweka juu zaidi.
 
Back
Top Bottom