Waandishi wa habari wa Tanzania nao

Tunalaumu wasomi bila kutafakari mfumo uliozaa wasomi hao. Unatarajia wasomi wa aina gani wakati elimu yetu ya sasa ni kukariri, kusoma katika mazingira duni na kujali wingi wa wanafunzi bila kujali ubora wa elimu? Kama tusipobadili mfumo huu tutaendelea kuwa na waandishi na wasomi wanaoganga njaa kwani mfumo umedumaza akili na uwezo wetu wa kufikiri. Hata waliosomea nje, wakirudi wanamezwa na mfumo nao wanaanza kukimbizana na shilingi bila kuwa na ubunifu na mikakati yoyote ya kuiendeleza nchi.


In the land of the blind, the one eyed is king. Wasomi wetu ingawa unadai wamesomea katika mfumo wa "kukariri", lakini wengi wamepata bahati ya kusomea nje na kuona wenzetu wanavyofanya kazi. Huwezi kusema hawajui chochote kuhusu umuhimu wa biographies/ critical analysis za nchi inavyoendeshwa, huwezi kusema hawajui, sema labda hawaoni kama priority au wanaogopa.
 
Binafsi natamani kusoma vitabu
biography au autobiography za watu wafuatao but sijui
lini vitakuja kuandikwa.....

Jakaya kikwete
salma kikwete
lowassa
mkapa
mwinyi
kawawa
salmin
salma salmin
regina lowasa
makamba
kingunge
zito kabwe
dr slaa
mbowe
lipumba
fundikira
mtikila
mrema
marando
lamwai
mengi
rostam
samuel sitta
msekwa
mangula
malecela
anna kilango
mwakyembe
Viongozi wetu wengi ni wasiri, maisha yao ni ya kisirisiri. Tunaona kila mara mtu akiwafuata kuwauliza mambo ya kawaida tu inakuwa ngoma, sijui kama waandishi wetu hawa wanaweza kweli kuifanya kazi hii unayoitamani
 
Viongozi wetu wengi ni wasiri, maisha yao ni ya kisirisiri. Tunaona kila mara mtu akiwafuata kuwauliza mambo ya kawaida tu inakuwa ngoma, sijui kama waandishi wetu hawa wanaweza kweli kuifanya kazi hii unayoitamani


Yeah man,

Na usiri huu unatokana na uovu. Kiongozi kama hana maovu atataka kuonyesha mema yake hadharani, ukiona kiongozi hapendi waandishi proper (ukiacha makajanja) mara nyingi ni kwa sababu ya kuficha maovu.
 
Ukiangalia nchi za watu......hasa marekani
utakuta watu wanaoandika vitabu mbbalimbali pamoja na
vitabu vya maisha ya watu maarufu,viongozi na wengineo

utakuta wengi wa wandishi hao ni waandishi wa habari au
wana background ya uandishi wa habari

sasa hapa kwetu suala la waandishi wetu na
wahariri wao kuandika vitabu ni kama vile haliwahusu...

Binafsi natamani kusoma vitabu
biography au autobiography za watu wafuatao but sijui
lini vitakuja kuandikwa.....

Jakaya kikwete
salma kikwete
lowassa
mkapa
mwinyi
kawawa
salmin
salma salmin
regina lowasa
makamba
kingunge
zito kabwe
dr slaa
mbowe
lipumba
fundikira
mtikila
mrema
marando
lamwai
mengi
rostam
samuel sitta
msekwa
mangula
malecela
anna kilango
mwakyembe



orodha ni ndefu.......
Kwa ufupi tunahitaji vitabu vingi sana..
Mtu unaweza andika kitabu topic zifuatazo pia

inside bot
the last days of mkapa ikulu
ten years of mwinyi ikulu
the last days of nyerere
the truth about daudi balali
who is anna mkapa?
The secrets behind barrick co.
Buzwagi the real thruth.
Salim a salim.the president who never was.
Inside chadema.

Kwa ufupi ujumbe wangu kwa waandishi wa habari na wengineo

tunahitaji vitabu vingi iwezekanavyo kwa urithi wa vizazi vijavyo
so please andikeni vitabu

Nilipoona mada nilidhani unazungumzia waandishi wenye taaluma ya uandishi wa habari.Sidhani kama kuandika biography ya mtu kunahitaji taaluma hiyo ingawa kuwa na taaluma hiyo kunaweza kurahisisha uandishi ya historia ya maisha ya mtu flani.

Hudhani kwamba badala ya kulaumu waandishi ingekuwa vema kwa wewe kuonyesha mfano kwa kuanza jitihada za kukusanya habari za moja ya watu uliowataja katika orodha hiyo na kisha kutengeneza historia ya maisha yake?

Pengine ni vizuri kukumbushana kwamba badala ya kuhoji kwanini flani hajafanya hiki tujiangalie nasi wenyewe tumeshafanya nini katika hicho tunachohoji.
 
nilipoona mada nilidhani unazungumzia waandishi wenye taaluma ya uandishi wa habari.sidhani kama kuandika biography ya mtu kunahitaji taaluma hiyo ingawa kuwa na taaluma hiyo kunaweza kurahisisha uandishi ya historia ya maisha ya mtu flani.

Hudhani kwamba badala ya kulaumu waandishi ingekuwa vema kwa wewe kuonyesha mfano kwa kuanza jitihada za kukusanya habari za moja ya watu uliowataja katika orodha hiyo na kisha kutengeneza historia ya maisha yake?

Pengine ni vizuri kukumbushana kwamba badala ya kuhoji kwanini flani hajafanya hiki tujiangalie nasi wenyewe tumeshafanya nini katika hicho tunachohoji.

ni kweli but...
Wao kama waandishi wa habari wana access kubwa zaidi
 
Ukiangalia nchi za watu......hasa marekani
utakuta watu wanaoandika vitabu mbbalimbali pamoja na
vitabu vya maisha ya watu maarufu,viongozi na wengineo

utakuta wengi wa wandishi hao ni waandishi wa habari au
wana background ya uandishi wa habari

sasa hapa kwetu suala la waandishi wetu na
wahariri wao kuandika vitabu ni kama vile haliwahusu...

Binafsi natamani kusoma vitabu
biography au autobiography za watu wafuatao but sijui
lini vitakuja kuandikwa.....

Jakaya kikwete
salma kikwete
lowassa
mkapa
mwinyi
kawawa
salmin
salma salmin
regina lowasa
makamba
kingunge
zito kabwe
dr slaa
mbowe
lipumba
fundikira
mtikila
mrema
marando
lamwai
mengi
rostam
samuel sitta
msekwa
mangula
malecela
anna kilango
mwakyembe



orodha ni ndefu.......
Kwa ufupi tunahitaji vitabu vingi sana..
Mtu unaweza andika kitabu topic zifuatazo pia

inside bot
the last days of mkapa ikulu
ten years of mwinyi ikulu
the last days of nyerere
the truth about daudi balali
who is anna mkapa?
The secrets behind barrick co.
Buzwagi the real thruth.
Salim a salim.the president who never was.
Inside chadema.

Kwa ufupi ujumbe wangu kwa waandishi wa habari na wengineo

tunahitaji vitabu vingi iwezekanavyo kwa urithi wa vizazi vijavyo
so please andikeni vitabu

Brilliant idea... hata wafanyabiashara wetu mbona vitabu hakuna.. Mengi etc..vingeweza kutumika kuinspire future generation. Waandishi kazi hiyo
 
Mkuu Nkrumah, nimesoma UDSM waakati nasoma wanafunzi wengi huwa hawaendi Library kusoma au kutafuta vitabu, achilia mbali matangazo tu , hawasomi mkuu,

Tabia ya kujisomea inaanzia utotoni, ndugu, huku ughaibuni nawaona akina mama wazee sana, lakini wanasoma novo ndani ya vasi au wakati wanasubiri huduma!

Shule zetu hizi za tuition, past paper na kuotea maswali hazimfanyi mwanafunzi kuwa msomaji mzuri wa vitabu.

Yeah this makes alot of sense upande wangu, ni kweli nimechunguza hata mimi na sababu zako za wasomi wa UDSM nilikua sielewi sasa nimekupata.

Unajua nina watu ambao tulikua tunasaidiana mawazo kwenye essays ambao walikua other parts of the world. Unakuta mtu anakutumia kazi hui some unaona duu! yaani unaishia kumuandikia wewe upya. Yes wanajua kukusanya material lakini kujibu swali kwa point inakua tabu sana.

Inaonekana huko maswali labda yanajirudia si ajabu intresting ya kusoma kunakuwa amna. Unajua hata huku si wote wasomaji lakini ni descipline ambayo wazazi wanai anzisha kwa kuwasomea watoto kabla ya kulala na kuwaacha wenyewe wajiendeleze nazo mara tu wanapoanza kujua kusoma.

Isitoshe si ajabu kijana anaekuja kutoka Africa mara nyingi chini ya miaka 14 huwa wanatesa lakini anaekuja 15 au sixteen yrs age. Miaka ambayo wao wanakaribia kufanya mitihani ya form four mara nyingi huu struggle kutokana na hapa primitive research zinahitajika elimu huku si kukariri bali umeelewa vipi. by the time wapo A level kusoma vitabu inakua wajibu ili kuweza kujibu. Na university hiyo degree ni kama unajisomesha mwenyewe ni research ambazo inabidi usome. Si wengi umaliza na First wala second asilimia kubwa ni third class katika vyuo visivyo na majina. Ndio maana nimekupata wengi ushindwa kujibu maswali ya essay kama lilivyouliza.
 
Uandishi wa habari ni fani na uandishi wa vitabu ni fani, sio haki kuwashutumu watu wa fani moja kutovamia nyingine.

Mbona hushangai tangu tumepata uhuru tumetengeneza wasomi kibao wa fani zote. Mpaka leo sayansi bado tunakumbatia Abott na Lambert. Fasihi ni kina Chinua Achebe Ngungi wa Thion'go etc hao wasomi wetu wako wapi?.
Kwa taarifa tuu hata historia kubwa ya Tanzania ni kazi za wazungu. Alipewa tenda ya kuandika historia ya Tanu mpaka CCM alipewa Mmalawi Kanyama Chiume, hao wasomi wetu wa wapi?.

Tusilaumu bure waandishi, nenda maktaba za UDSM, utashangaa makabrasha ya manuscript ya kazi za kitaaluma ambazo zimeishia kwenye shelf kisa hakuna publisher.
Ukiwauliza publishers kama DUP au kina Mkuki na Nyota kwa nini hawapublish watakuambia Watanzania hawana utamaduni wa kujisomea.

Huwezi amini gazeti la Mwananchi ndilo daiy linaloongoza kwa circulation lakini halifui dafu kwa magazeti ya udaku, sasa hizi biograph unazotaka ziandikwe atasoma nani?.
 
uandishi wa habari ni fani na uandishi wa vitabu ni fani, sio haki kuwashutumu watu wa fani moja kutovamia nyingine.

Mbona hushangai tangu tumepata uhuru tumetengeneza wasomi kibao wa fani zote. Mpaka leo sayansi bado tunakumbatia abott na lambert. Fasihi ni kina chinua achebe ngungi wa thion'go etc hao wasomi wetu wako wapi?.
Kwa taarifa tuu hata historia kubwa ya tanzania ni kazi za wazungu. Alipewa tenda ya kuandika historia ya tanu mpaka ccm alipewa mmalawi kanyama chiume, hao wasomi wetu wa wapi?.

Tusilaumu bure waandishi, nenda maktaba za udsm, utashangaa makabrasha ya manuscript ya kazi za kitaaluma ambazo zimeishia kwenye shelf kisa hakuna publisher.
Ukiwauliza publishers kama dup au kina mkuki na nyota kwa nini hawapublish watakuambia watanzania hawana utamaduni wa kujisomea.

Huwezi amini gazeti la mwananchi ndilo daiy linaloongoza kwa circulation lakini halifui dafu kwa magazeti ya udaku, sasa hizi biograph unazotaka ziandikwe atasoma nani?.

hata kama leo hakuna wasomaji,faida ya vitabu ni kwa vizazi na vizazi.....
Tusitazame leo tu.
 
Back
Top Bottom