Waandishi wa Habari wa Tanzania jifunzeni Kuuliza 'Critical Questions' Wanasiasa wa Tanzania na 'Mjiamini' pia

Mkuu almost kila swali hapo kaulizwa na kulijibu barabara kabisaaa, isipokuwa swali la tano. Hilo la tano ni zuri kwa sababu hatujawai kujua msimamo wa Lissu juu ya kuhamia dodoma. Swali la nne, hilo lilitakiwa liulizwe na kada wa CCM kweny vijiwe vya kahawa, na sio kweny media halafu kwa mwandishi ambaye ni certified critical journalist, kwa sababu lipo nje ya "journalism ethics as a professional". Mwandishi wa habari mwenye weledi unauliza vipi swali la hivo, wakati unajua chama kipo kwa mujibu wa katiba na sheria za uanzishwaji wa vyama vya siasa, utaonekana mzemb na hujajishughulisha kusoma, na haujatofautisha kati ya propaganda na news, so far hujui "criteria to determine news".

Hapo kwa SAUT, let complement you....nafundushwa na product mbili za SAUT kama lecture wangu kweny somo la public relations and marketing....they are so bright !

Ukiona hadi Chuo Kikuu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo ) Mimi nimesoma jua hapo kuna 'Geniuses' tu.
 
Ili neno IQ linatumika vibaya. Mi nlitegemea ngekuta maswali ya mtu mwenye akili. Kumbe ni the same stupid questions. Miaka hii tunakwama sana kupata kizazi chenye akili.
 
Hahahahaha ntahahakisha mpk unajirekebisha na upumbavu wako ...unajitia aibu bure

Wamenishindwa na Walinishindwa 'Magwiji' hapa hadi wakaomba 'Po' Kwangu utakuwa 'Kisokolokwinyo' Mmoja tu Wewe uliyejawa na 'Ujuha' mno?
 
Wamenishindwa na Walinishindwa 'Magwiji' hapa hadi wakaomba 'Po' Kwangu utakuwa 'Kisokolokwinyo' Mmoja tu Wewe uliyejawa na 'Ujuha' mno?
Waliamua kukupuuza tu mkuu ..unafikiri ni wote wanaweza kuandika upumbavu hapa?? Usifikiri walikushindwa bali walikupuuza tu
 
Waliamua kukupuuza tu mkuu ..unafikiri ni wote wanaweza kuandika upumbavu hapa?? Usifikiri walikushindwa bali walikupuuza tu

Sasa kama umeshaniona Mimi ni Mpuuzi mbona bado tu unaendelea 'Kupuuzika' hivi na Mimi? au labda na Wewe ni Pacha wangu katika Upuuzi JF?
 
Ukiona hadi Chuo Kikuu GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ( Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo ) Mimi nimesoma jua hapo kuna 'Geniuses' tu.
Sawa 'Mpuuzi Mwandamizi' Mwenzangu hapa JF nimekusikia na pia 'umeeleweka' vyema tu na hata wale 'Wanabodi' uliowasemea pale mwanzoni.
Unaharibia hicho chuo sifa, itaonekana kinafundishs kutukana mkuu.
 
Back
Top Bottom