Waandishi wa habari wa sasa Wa Tanzania hawana Logic Questions wakati wa mahojiano kama Waandishi wa Zamani

Hebu fikiria wanapokutana na mtu mzima ambae ni director wa shirika au kampuni fulani wanaanza kuuliza bila shaka una mahusiano, nguo ulizovaa zinagharimu kiasi gani yaani inakua aibu
Kuna muda uwa hadi naona aibu kwa maswali mtu anayomuuliza mtu.
 
Mambo ya aibu unajua uandishi hata mimi nisieujua ni noble professional ndio maana waandishi makini atasoma uandishi, atasoma sheria, atasoma ICT, atasoma uchumi ilimradi awe deep kwenye maeneo mengi, sasa hawa wa online hapana mwisho wa siku unaona bora wabanwe tu hawana maana
Kumuita kanjanja mwandishi wa habari ndiyo kosa linapianzia.
 
Shida wengi wao hawana elimu, utakuta hakina Dau.da, Jemeda.ri, Kiten.ge hata diploma hawana!
 
Mm kdg ktk watangazaji namkubali skywalker
Jamaa wa SnS

Ova

Ndio fredrick bundala mwamba interview zake anajipanga na anafanya utafiti kabisa hua hana maswali ya kipuuzi, yule ni full package ni mwanahabari kweli kweli ndio maana hata sns unaona inapepea.
 
Shida wengi wao hawana elimu, utakuta hakina Dau.da, Jemeda.ri, Kiten.ge hata diploma hawana!

Mambo ya ajabu sana ni basi tu hatuelewi kua habari inakua muhimili wa nne kwenye nchi zote japo hautajwi maana maadili, ya jamii hutokea huko, maendeleo ya jamii huweza kuchagizwa na habari maana jamii ikipata taarifa useful mabadiliko yanakuepo.
 
Sema waandishi wa zamani walikuwa ni vibaraka tu. Hawakuweza kuhoji kupata ukweli.
 
Back
Top Bottom