frankmshamimana
Member
- Feb 4, 2011
- 35
- 10
Jamani ni mtazamo tu, ila waamdishi wa luninga ya ITV wamepitiliza, suti mbaya zimepitwa na wakati kwa watangazaji wa kiume na tai za kigoloko.
kuna siku m2 wa camera alijisahau wakati jamaa kamaliza kutangaza akainuka aondoke kumbe chini kavaa bukta ila juu anaonekana ana suti na tai yani.............huh

kuna siku m2 wa camera alijisahau wakati jamaa kamaliza kutangaza akainuka aondoke kumbe chini kavaa bukta ila juu anaonekana ana suti na tai yani.............huh
Ahahahahaaah!! Wapi huko??kuna siku m2 wa camera alijisahau wakati jamaa kamaliza kutangaza akainuka aondoke kumbe chini kavaa bukta ila juu anaonekana ana suti na tai yani.............huh
Duh! Mkuu nimecheka mpaka nimesahau matatizo ya umeme na mafuta!kuna siku m2 wa camera alijisahau wakati jamaa kamaliza kutangaza akainuka aondoke kumbe chini kavaa bukta ila juu anaonekana ana suti na tai yani.............huh
tupende tusipende itv imetutoa mbali,itabaki kuheshimika katika jamii ya watanzania,kumbukeni ndio waliotutoa tongotongo la television miaka ileeee!kwa hiyo tusiwadharau hata kidogo
Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
usipende kuiona tz ni pwani,tz ni kubwa na wengne 2meanza kuona itv miaka ya 90's,sasa unaleta habr za 74 ili tukuone pioneer,umeishi miaka mingi sana,unapenda sn ku2kumbusha mamb ya zamani,tushatoka huko bi mkubwa!Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
camera man alijisahau kuzima hvo jamaa akati anainuka hakuelewa ka bdo yupo hewani

Duh! Kama alikuwa na suti na tai bukta uliwezaje kuiona? Khaaaa!!
ilikua ITV mkuu yule jamaa anaevaaga miwani.................hbu nifiche jina lake kutunza siri za ofisiAhahahahaaah!! Wapi huko??

Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
Mkuu imetutoa mbali wapi? Wewe kumbe TV yako ya kwanza kuangalia ni ITV? usitusemee wote umesikia kijanatupende tusipende itv imetutoa mbali,itabaki kuheshimika katika jamii ya watanzania,kumbukeni ndio waliotutoa tongotongo la television miaka ileeee!kwa hiyo tusiwadharau hata kidogo

kuna jamaa anaendesha kipindi cha 'DK 45' itv.....mmh ule uvaaji wake !
Anakuambia ukweli kwani wewe Mjini umekuja lini si juzi tu umetoka Moshi ndio umeanza kuangalia ITVendelea kudanganya wa hukohuko kariakoo sio hapa jf eti 74 blah blah..unajifanya wa long time na data hewa