Waandishi wa habari wa Luninga wasiojua kuvaa

Feb 4, 2011
35
10
Jamani ni mtazamo tu, ila waamdishi wa luninga ya ITV wamepitiliza, suti mbaya zimepitwa na wakati kwa watangazaji wa kiume na tai za kigoloko.
 
Heh! Kumbe sisi tunaangalia na kusikiliza habari ila wengine mnaangalia mengi...! Mmh haya!
 
kuna siku m2 wa camera alijisahau wakati jamaa kamaliza kutangaza akainuka aondoke kumbe chini kavaa bukta ila juu anaonekana ana suti na tai yani.............huh
 
tupende tusipende itv imetutoa mbali,itabaki kuheshimika katika jamii ya watanzania,kumbukeni ndio waliotutoa tongotongo la television miaka ileeee!kwa hiyo tusiwadharau hata kidogo
 
<br />
<br />
Duh! Kama alikuwa na suti na tai bukta uliwezaje kuiona? Khaaaa!!
 
kuna jamaa anaendesha kipindi cha 'DK 45' itv.....mmh ule uvaaji wake !
 
tupende tusipende itv imetutoa mbali,itabaki kuheshimika katika jamii ya watanzania,kumbukeni ndio waliotutoa tongotongo la television miaka ileeee!kwa hiyo tusiwadharau hata kidogo

Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
 
umekosea mahesabu,faiza unataka kuniambia wewe hapo ulipo 1974 ulishaona tv,,,ahhhha babe,,noooo,unatupeleka siko
 
Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
usipende kuiona tz ni pwani,tz ni kubwa na wengne 2meanza kuona itv miaka ya 90's,sasa unaleta habr za 74 ili tukuone pioneer,umeishi miaka mingi sana,unapenda sn ku2kumbusha mamb ya zamani,tushatoka huko bi mkubwa!
 
Faiza umeongea sisi wa pwani tumeona mengi na kupokea mengi hata TV ya rangi tumeanza kuona kitambo ila MACHOGO mlokuja kwa mbio za mwengi kwenu mageni na ukweli ITV wafanyakazi wake hawajui kuvaa
 
Labda hujatoka pwani. Sisitulitolewa tongotongo mwaka 1974 na Sheikha Abeid Amaan Karume wa Zanzibar. Alipowafungiza TV ya rangi ya kwanza Afrika Wazanzinbari watu wa Dar tukawa tunaweka ma-antena marefu tunaipata. Nadhani na Watanga na Bagamoyo halikadhalika. Baada ya hapo tukawa tunarushiwa na DTV ya kienyeji kabla ya kuruhusiwa rasmi matangazo ya TV Tanzania bara. Wenyeji wa Dar hususan Kariakoo, Upanga, Uhindini watakumbuka hili.
<br />
<br />
endelea kudanganya wa hukohuko kariakoo sio hapa jf eti 74 blah blah..unajifanya wa long time na data hewa
 
tupende tusipende itv imetutoa mbali,itabaki kuheshimika katika jamii ya watanzania,kumbukeni ndio waliotutoa tongotongo la television miaka ileeee!kwa hiyo tusiwadharau hata kidogo
Mkuu imetutoa mbali wapi? Wewe kumbe TV yako ya kwanza kuangalia ni ITV? usitusemee wote umesikia kijana
 
endelea kudanganya wa hukohuko kariakoo sio hapa jf eti 74 blah blah..unajifanya wa long time na data hewa
Anakuambia ukweli kwani wewe Mjini umekuja lini si juzi tu umetoka Moshi ndio umeanza kuangalia ITV
 
Back
Top Bottom