lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Waandishi wa habari tumieni uelewa wenu kuisaidia cuf,tumieni taaluma yenu vizuri
Waandishi wa habari mnajua kabisa kuachwa lipumba,hakuna mtu yeyote dunia alishawai kujiuzulu,na baada ya kujihuzulu akarudi tena madarakani,hamna kitu kama hicho duniani kote,na waandishi mnajua kuwa hakuna tukio kama hilo duniani kote,pia waandishi mnajua lipumba sio mwanachama wa chama cha wananchi cuf tena nyie waandishi wa habari mnajua uhalisia,na ukweli wa mambo waandishi mnajua kuwa sofia simba huwezi kuzalimisha kuwa Mwenyekiti wa baraza la wanawake la chama cha mapinduzi tena,waandishi mnajua msajili wa vyama hawezi kulazimisha mama simba kuwa kiongozi wa baraza la wanawake tena,hata kama msajili wa vyama vya siasa anampenda sophia simba kuliko anamvyompenda mama yake mzazi, au anampenda kuliko anavyompenda lipumba.
Waandishi mnajua ukweli wote waandishi mnajua uhalisia,kwanini mnampa lipumba promo,ya vyombo vyenu vya habari?au kuna rushwa kwenye habari za lipumba?kwanini msajili asimrudishe mama sophia simba,kama alivyomrudisha lipumba,wakati mama simba amefukuzwa kwa kuonewa?na lipumba alijihuzulu mwenyewe
Nyie waandishi nyie inamaana hamna uelewa wa mambo ya kisiasa?