Waandishi wa Habari Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa Habari Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CriticalThinker, May 27, 2009.

 1. C

  CriticalThinker Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ni kwanini tusianzishe mjadala kupambana na uandishi uchwara??? Fani ya uandishi hapa nchini imepoteza sana heshima yake kutokana na mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ukosefu wa waandishi wenye taaluma ya juu (elimu ya chuo kikuu angalau), malipo hafifu na mengine mengi lakini cha kusikitisha zaidi ni juu ya habari zenyewe zinazoandikwa kutokuwa na credibility maana siku hizi waandishi badala ya kufatilia mambo kwa kina wana-download habari kutoka kwenye blogs na forums kama hii. Huu ni ujinga kwakweli, mambo kama haya yanahitaji kurekebishwa haraka ili kunusuru fani hii.
   
 2. R

  Reasoning Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata wewe uandishi wako wa hoja hii ni mchwara. Kichwa cha habari haiendani na habari yenyewe. Kwa nini unatumia neno "breaking news" mahali pasipostahili. Tukomeshe uandishi wa habari wa namna hii kwenye JF kwanza kabla hatujaenda kwa waandishi wa habari wa magazeti
   
 3. OFFORO

  OFFORO Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mrekebishe halafu mwambie afanye nini kwani yeye siyo mwandishi

  hata hivyo mie nakubaliana naye kwa namna fulani

  sio waandishi woote uchwara ni wachache

  napenda sana kuwafuatilia maana wengine wanatupa habari za kweli na za uhakika
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Wadanganyika tunakosa CREACTIVITY tu. Au nina wasiwasi na mfumo wetu wa elimu hautupi kujiamini na kufikiri outside the box. Ukiangalia ARCHIVE za magazeti mbalimbali unaweza usiamini utakachokiona, mwandishi anaandika makala fulani mybe mwezi wa kwanza kuhusu a certain issue then makala nyingine anaandika kupinga kile alichoandika awali, yaani plenty of contradictions kwenye habari zao, mybe its a new generation way of reporting. Ila nahisi tatizo kubwa liko kwenye specialization especial kwenye mfumo wetu wa elimu, at the end of the day kazi tuzifanyazo sio zile tuzipendazo na ambazo tunaziweza, issue ni kuganga njaa tu.
   
 5. Offish

  Offish Senior Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sekta ya uandishi wa habari kweli inakabiliwa na changamoto nyingi zikiwemo ukosefu wa elimu ya juu lakini uzoefu unaonyesha kuwa vijana wengi wenye vyeti vya eleimu ya juu ni uchochoro tu. Tatizo la ubora wa elimu ni la kitaifa, linapaswa kutazamwa kwa mapana yake. Mwanzilishi wa hoja hii bilashaka ana elimu ya juu lakini angalia uwezo wake wa kujieleza kama kweli unalingana na elimu yenyewe!!! Tangu turithi mfumo wa elimu ya kikoloni wenye lengo la kuzalisha makarani hatujakaa chini tukaibua mfumo wa elimu unaolenga kuendeleza mila, tamadani na ndoto zetu za kisiasa. Tulikurupuka Kubeza jando na unyago badala ya kuboresha (kama ilivyokuwa JKT kwa mujibu), matokeo yake tumebaki na vijana wenye akili kama sponji - zinazonyonya kila kitu bila kuchuja! Swala la malipo hafifu nalo ni la kitaifa. Naomba unipigie hesabu za matumizi ya kima cha chini cha Shs80,000 wanachopata watanzania wengi kwa mwezi katika sekta binafsi...
   
 6. C

  CriticalThinker Member

  #6
  May 27, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is a forum where everyone can simply post his/her views. The most important thing from where I stand and probably most members is the fact that Jamii Forum like such forums around the world is dedicated to keep us thinking, questioning, exploring new ideas, learning more and spending meaningful time on dialogue. Do not force members of this forum to craft and embellish carefully every piece of information they are putting across. Jenga hoja usikosoe grammar wala mtiririko wa maneno, let's avoid being radical kwa vitu ambavyo havina msingi tujadili hoja iliyoko mbele yetu.
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kaazi kweli kweli...:)
   
 8. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Critical Thinker, umesema kweli kuhusu aina ya uandishi na waandishi wa habari tulionao hapa nchini. Tatizo kubwa ninaloona mimi ni mwingiliano wa maslahi, hasa ukizingatia kwamba taaluma ya uandishi wa habari imegeuzwa kuwa biashara na siasa.

  Wamiliki wa vyombo vya habari ni vigogo wenye maslahi katika mambo fulanifulani. Ni dhahiri mwingiliano/mgongano wa maslahi utakuja kuonekana/kuwaangukia zaidi waandishi wenyewe, ambao wanataka ajira na kutunza taaluma yao na ambao pia wanataka kuendelea kuwa kwenye ajira.

  So, kinachojitokeza ni 'compromise' - mwandishi atakuwa katikati ya vitu viwili - kulinda taaluma na kutumiwa. Kwa upande mmoja, kulinda taaluma ni kitu kilichotukuka sana lakini kuna athari zake pia. Kuandika kile anachotaka mwajiri kunampa mwandishi ujasiri wa muda ili abaki kwenye ajira ingawa kunamwingiza kwenye matatizo ya kitaaluma.

  Katika mazingira ya sasa ya nchi yetu, ambapo watu wengi wanaishi 'as working poor' - yaani, wanachopata ni 'for survival' itachukua muda mrefu sana watu kuwa 'themselves'. Kwa nini? Kwa sababu mazingira yenyewe yanafanya baadhi ya waandishi wakubali kutumiwa na wamiliki wa vyombo vya habari ili kulinda maslahi yao na wao wenyewe kuweza kuishi.

  Lakini si waandishi wote. Wapo pia wanajali taaluma yao ingawa hawadumu sana katika ajira kwani wanaonekana kama wanapingana na maslahi ya mmiliki mwenyewe. Nionacho mimi, we've fallen prey of neo-slavery! It's difficult to be independent/objective/assertive during this era of unlimited free market capitalism and surrounded by greedy politicians and businesspeople and when money not professionalism dictates everything.
   
  Last edited: May 27, 2009
 9. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Nitafurahi mno kuwafahamu na mimi niwafuatilie! natanguliza shukurani.
   
 10. Offish

  Offish Senior Member

  #10
  May 27, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Why force the journalists to do exactly what you wish you were exempted? Is it not irresponsibility? Present your case carefully for us to grasp it, pls, you can't shy away from this naked fact. Mkuki kwa nguruwe?
   
 11. C

  CriticalThinker Member

  #11
  May 27, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You will conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist. A pen is mightier than the sword and if you agree it is what makes you survive, better be good!
   
 12. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #12
  May 27, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Itakuwa busara kama utarudia kuisoma post namba sita na kutekeleza mapendekezo ikiwa utaweza.
   
 13. C

  CriticalThinker Member

  #13
  May 27, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  You will conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist/reporter/whatsoever may be. It doesn't matter. Bearing in mind that a pen is mightier than the sword and it's what makes you survive, better be good.
   
 14. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #14
  May 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wewe subiri tu wataanza kukuita umetumwa uko katika payrol
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  May 27, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,577
  Likes Received: 18,524
  Trophy Points: 280
  Asante kumsaidia CT kujenga hoja. Naamini hoja umeijibu vizuri na mimi naongezea. Uandishi ni taaluma iliyotukuka ambayo inakuhitaji uwe na kipaji, uwezo na moyo wa kuitumikia taaluma hii.
  Moja ya mapungufu makubwa ya taaluma hii ni lack of proffessional specialization, yaani zaidi ya mwandishi kusomea fani yake, anazama zaidi na kubobea katika maeneo atakayoamua kubobea.
  Kutokana na kazi hii kuwa ni ya wito huku imegubikwa na njaa kali, wengi wa waliospecialize huwa wanaikimbia fani kufuata maslahi bora zaidi kwenye huko walikofika.
  Watu kama Ben Mkapa, Prof. Mwakiembe, Prof. Palamaghamba Kabudi, Dr. Sengodo Mvungi wote walikuwa waandishi wakaspecialize, walipohitimu, uandishi ni kapuni.
  Pia bado tunao waandishi wazuri wenye moyo wa kazi ila wamejikuta wamiliki wa vyombo vyao wako kwenye kambi fulani kisiasa, hivyo kujikuta wao wanalazimika kugeuka wapiga filimbi.
  Wafikirie waandishi wa vyombo vya fisadi papa walivyopuliza tarumbeta kwa fisadi nyangumi. Pia hebu fikiria vyombo vya habari vya fisadi nyangumi vinavyoshikia bango issue zozote za fisadi papa.

  Pamoja na madhaifu yote, pia fani hii ya uandishi wa habari imeingiliwa na watu wasio na vipaji, uwezo wala moyo, hawa wameivamia fani ya habari kutokana na njaa zao na kazi yao wao ni 'petty cash journalism' kwa kukimbizana na vi-brown envelopes. Hawa sasa ndio wanao tuharibia fani ya uandishi wa habari.
   
 17. Dilunga

  Dilunga JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 679
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hata wewe uandishi wako wa lugha ni uchwara. Umetuletea neno geni ``mchwara`` na pia umetumia ``haiendani`` badala ya ``hakiendani.`` Pia, swali lako limekosa alama ya kuuliza baada ya ``pasipostahili.``

  Isitoshe, mleta mada hakuandika ``habari,`` ameandika hoja.

  Tukomeshe uandishi ovyo ovyo kama huo kwanza kabla hatujakosoa waleta mada wanaokosoa waandishi.
   
 18. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa pasco. umejalizia pazuri tu pale alipoachia Magobe. Enzi zile vile Vi-Feature stories vya kina Kabudi na Mvungi pale Uhuru vilisaidia kutuuonyesha mwanga katika taaluma hii. Hata personality yake Pro. Mwakiyembe katika uandishi pale alipokuwa uwanjani ilikuwa ni ya mfano wa kuiga tu. Ben ni Mhariri competent akiikamata copy ah. anaisarifu kikweli kweli nakubaliana nawe hii profession ina matatizo kidogo siku hizi- imezongwa na mambo.
   
 19. C

  CriticalThinker Member

  #19
  May 28, 2009
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I can understand, you have to conceal your profession for obvious reasons but you sound like a journalist. If writing is what makes you survive, better be good! A pen is mightier than the sword...
   
 20. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #20
  May 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu CriticalThinker,

  Ni FANI ipi yenye HESHIMA hapa Tanzania? Tuwe wakweli tu FANI zooote zimepoteza HADHI yake na makusudio yake ya awali. Kila Mtaaluma anafanya kazi katika kila Taaluma! na hapo ndipo heshima na hadhi ya kila fani inapododa.

  Ma-ENGINEER kibao wako kwenye mabenki (Bank Teller) - I'm not offending anyone ps! E.t.c
   
Loading...